Vinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku.
Kimoja kina mwanga kina ulingo kuzungukia.
Kingine kinafanana na stelite kina Kingo kama ngazi za helicopter.
Picha hizi nimetengeneza kwa Teknolojia ya Akili Bandia (AI), just ku visualise namna ambavyo hawa watu maarufu kama machifu walivyo onekana kiuhalisia
kumbukumbu AI ipo very probably, hivyo...
Huu ndio muundo wa bendera za mataifa ya ukanda wa “Scandnavia” yanayopatikana Kaskazini mwa bara la Ulaya...
Muundo wa bendera za mataifa una upekee kutokana na kulingana huku rangi pekee...
Hifadhi nasi Kumbukumbu zako za picha kwenye fremu za mbao Katika saizi ya upendeleo wako.
[emoji419]Kumbukumbu yako ni salama iwapo kwenye fremu mbao kwakua haivunjiki Wala kuloana.
Yaweza kua...
Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.