Waathirika wa Mabomu wakisubili zamu yao kuitwa kwenda kupewa hundi ofisi za manispaa Temeke.
Wakihakiki picha zao za majengo na walipwaji halali.
Wakipokea Hundi zao kutoka kwa maofisa...
Nilikuwa napita mitaani nikaona kijitabu kina Title :- Dr. Slaa unayajua haya? Pia kimechorwa picha ya Chopa. Kitabu kilikuwa kinauzwa na wauza magazeti.
Ndani ya kitabu kuna propaganda...
Wanamnchi najua nitakuwa nina warudisha nyuma.Niko Mpanda na kuna issue nashughulika nayo .Naombeni msada wa picha za mateso ya wananchi wakati wa chaguzi mbali mbali Tanzania kuanzia zamani sana...
katika pitia pitia ya magazeti na majarida mbali mbali miaka hiyo nadhani umewahi kutana na cartoon ya watoto wa mzee chogo
walichorwa na vichwa vyenye visogo virefu.
sasa kupitia picha hizi...
Chausiku, mkazi wa Kijiji cha Imbasemi, Arumeru mkoani hapa, amejifungua watoto 17, na wakati huohuo hivi sasa ana ujauzito wenye umri wa mwaka mmoja na miezi miwili. Katika kuzaa watoto hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.