Baaada ya Deo Kisandu kumgharamia kila kitu Malia Obama,inasemekana huyu jamaa mpenda kitonga kaja kung'oa kilaini.WanaJF kwa kauli moja tuupinge huu uonevu.
Ngoja nianze mimi mwenyewe kama mnavyoniona hapa nikiwa katika poooz
Haya wengine mnaweza kuweka picha zenu..
Wale wasio na mvuto pitieni mbali maana huu uzi hauwahusu
CC
farkhina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.