Habari za muda huu wana Jf...
Katika pita pita zangu mtandaoni kuna hii picha hapa nimeikota sehemu sasa kama unamfahamu mwenye nayo mtag aje hapa kuchukua picha yake
Hata akila ugali kijijini atataka dunia ijue ,tuwaache wenye kazi yao wafanye kwa uweledi ambao wanafanya kwa moyo mmoja na sio kujijenga kisiasa ndio maana huwezi kukuta mwalimu ,daktari anapiga...
Picha ya juu ajali hio imeua dereva, picha ya chini dereva na abiria wametoka salama na majeraha hapa na pale.
Hata kwa macho hilo ambalo watu wametoka na majeraha kidogo ndio limeharibika sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.