Tupia picha yeyote ya mji unaoishi na mandhari za kupendeza eneo uliopo uliyopiga mwenyewe kwa simu au camera na sio za ku-google,hii picha mimi nimepiga leo nikiwa Themi,Arusha
haya KARIBUNI sasa:)
1.North Korea ina viwanda vyake zinazotengeneza magari ya abiria na usafiri haitegemei kuagiza magari kutoka nje kama USA ,ulaya yote na mahasimu wao Japan wanajitegemea ni kosa kutumia magari ya...
Habari za jioni,
Leo tangu asubuhi nilipata ashiki ya kujipikilisha. Nikaenda kununua mahitaji ya kitu roho ina hamu nayo, maana ya dakika 45 msosi ukawa tayari...Dona, dagaa na tembele. Pilipili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.