Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Kitendo alichofanya naibu waziri maji Mh aweso kimenifurahisha sana na ni mfano wa kuigwa.nataka viongozi wa namna hii na sio wale wa kukaa ofisini wakipulizwa na ac tu.heko mh aweso
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wangekuwa wanaishi bongo shonza angewapiga marufuku kutumia mitandao ya kijamii kabisaaa!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mh sasa hizi alama mbona kama zinafanana fanana
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tujuzane jamani hizo alama nimeshindwa kujua zina maana gani. Hapo ni kahama kwenye maegesho ya magari makubwa ya mizigo,kwenye kumbukumbu zangu VETA sikuziona. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Ona njiti za kibiriti zilivyo kati ya za TBS hii leo, na zile za enzi za kale. Idadi ya kubwa ya vijiti vya TBS utakuta havina 'kichwa' au vina nusu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nampenda Gigy Money Nyuma ka Katuni za Masoud [emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23] GIGY MONEY ILOVE YOU
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Enzi zangu hizo. Hapana chezea 3 point zangu pamoja na ufupi wangu. utafiti, Mndengereko, Don Mangi, Red Giant, Desert Storm, Ntuzu, Mr Rocky, Tized Nitaweza tenaaaaa?
15 Reactions
447 Replies
24K Views
4 Reactions
24 Replies
5K Views
7 Reactions
14 Replies
4K Views
Hebu tupia na zako ulizokutana nazo huko
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom