Ilinichukua muda kuelwa/kuielewa kibonzo hiki, nikasema hapana, ilinichukua muda, ila baada ya Uteuzi wa Makonda na yanayo endelea...!!
Jaribu nawe kufungua Macho/Ubongo.
Dah hii picha imenifikirisha sana unajuwa haya mambo some time huwa tunayachukulia poa kwa sababu hayajatokea kwenye nchi zetu.
Ata hivyo wanaonekana bado wana matumaini licha ya kupitia magumu.