.
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Huyu ndiye mke wa ndoa wa Akon aliezaa nae watoto watano. Walifahamiana tangu wakiwa na miaka 20. Watoto wengine wanne amezaa nje ya ndoa
Hawa ni baadhi ya michepuko wa Akon
Masoud Kipanya ni miongoni mwa wachoraji katuni wanaofanya kazi nzuri hapa nchini kwetu, katuni ya Kipanya imetokea kuwavutia wengi kutokana na jinsi inavyoelimisha, kuburudisha, kuchekesha na...
Wanavyoswagwa kwenye makenta kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani kuuzwa vile!![emoji81]
Wakati mgeni rasmi anakuja na msafara wa ma V8 new model[emoji28][emoji28]
Wakuu natarajia mwaka huu usiishe nikiwa nimeoa kabisa na Kutulia nampenda sana huyu Binti mwenye mawasiliano nae tafadhari nitafurahi sana
Ni presenter pale Azam
Hii picha inaongea mengi kuhusu Africa.
Ina maana zaidi ya mia moja.
Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.