Kufa huku unaungua na moto ni kifo kibaya sana ,tena huku mkiwa mmebanana huna pakukimbilia mnaishia kulia huku mnateketea mkiwa hai
Na huenda Aliyetoa wazo hilo atakuambia ana hofu na Mungu...
Halafu ukifika mjini unaleta ubitozi na usista duu!!! Unajifanya huwezi kupanda basi lilojaa kwa maana hutaki kusimama kwenye basi. Lkn huko kijijini kwenu huchagui, utachagua vp wakati kipick up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.