Kwenye maisha ya kila siku kiumbe yoyote lazima akutane na changamoto za duniaHii sio mchezoNaona kadanganywa atakuwa tajili na mganga akitoka hapo Duuh!!! Koromije akujamuacha mtu salama Hii noma...
Mwanamke mwenye ndevu kuliko wote Duniani akitabasamu kwa amani kabisa.
Hivi huyu hana genes za Kiume Kweli?
Na ametajwa katika Kitabu cha Guinness kuwa anajisikia amani kuwa alivyo.
Watoto wa miaka ya 90 hamtaelewa kitu. Tushukuru Magufuli ana mpango wa kuleta treni mpya. Nchi ikikosa treni ni afadhali tu irudi kwenye stone age (zama za kutumia mawe)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.