Dar kuna nini lakini mbona wanaume wanaukimbia uanaume wao sana sana wakiwa Dar?
mbona nasikia kuna mzunguko mkubwa sana wa Hela, sasa inakuwaje tena wasihangaike kutafuta?
Mama Lorah akifanya MAGUFULIKA, huku Lowassa na UKAWA wakiweweseka. CCM imejaa watu shupavu na walio tayari kulingoza Taifa la Tanzania.
Hongera Mama kwa kumsambaratisha Lowassa kwa Magufulika.