Wadau nawasalimu,
Hebu jifunze kupitia hiki KIBONZO na huu ndio UKWELI wa Maisha ya Mwanasiasa na Familia yake na Maisha ya Mpiga kura wa huyo MWANASIASA.
Hii sio photo shop product ni picha halisi ya maonesho halisi ya kukuza vipaji vya watoto,hii ni moja ya vipaji vya maafisa wa usalama wa ,NSA,FBI CIA na n.k kuunda kikosi cha ulinzi wa viongozi...
Wadau nimegundua kila zinapotumwa picha za zaman huwa zinaleta hisia na gumzo hivi mtaalamu wa akili unaweza kutuambia ni kwa nini inakua hv kwa sababu wengine mpaka wanalia kwa kuangalia tu picha...
Ijue story ilipoanzia 👇🏾.
https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.