Wakuu,
Inasemekana bwana harusi alipooza tangu akiwa na miaka saba,Sijui Ugonjwa ulitokana na nini na sijui ilikuwaje akapata mchumba baade akiwa kijana ila akiwa na hali hiohio(Ya kupooza)...
Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu.
Mkoani kwetu yanaitwa 'Ebitomasi' yapo ya aina mbili, Mekundu na njano.
Unaweza kula yakiwa yamepikwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia.
Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali...
wapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024.
kuna wanaosema bingwa wa champions msimu...