Hodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
Aliyekuwa waziri wa Habari ,sanaa na michezo Nape Nnauye Leo aliungana pamoja na waziri mpya wa habari,sanaa na michezo Mwakyembe kwenye mpambano kati ya Taifa stars na Botswana,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.