wakuu huu ujenzi wa hiki choo unamenishangaza kiukweli
Haiwezekani kugeuza sinki la choo ligeukie upande wa mlangoni yani Apo ukingia makalio yanageuka kwa mlangoni unless uwe mkaidi ugeuke...
Mzee kachafuka pamba kali na chain litakatifu.
[emoji1545]
Kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, amen.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app