Picha yaongea mengi
Ngoja niagize utumbo wa nguruwe na maji makubwaa ya Kilimanjaro nikae nikisubiria mtanange huu mubashara.
Huku Sterling wa mchezo aka mungu wa dar akiwa katika ubora wake
Npo kweny gari/safarin nmetokea tunduma naelekea tabora so naona kama nimechelewa naomb kujua kwa morogoro kuna maeneo/gest gani nzuri ambapo naweza kupumzka huku nikipata burudani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.