Kila mlimbwende alionesha makeke ya hali ya juu hadi kuwapa wakati mgumu majaji. Kumbuka majaji ni Leonald Kaduguda (kushoto), Mama Ngenda Lutalo (katikati) na Mwl.Tatu Ngelengela (kulia).
MITHALI siku zote huwa na maana kubwa sana na fundisho pia kwa jamii husika ....
Hebu na tujifunze jambo fulani tokana na MITHALI hii ya kabila la Igbo toka kule Nigeria ....
Ingefaa zaidi...
kuelekea Donald Trump kutangazwa kuwa rais wa 45 wa merekani,rafiki yangu ambaye yupo Maryland USA,kanitumia picha hii.
kaniambia yeye hataki kuja kushurutishwa na sera za trump,kakata shauri na...
Ni kitendo cha kijasili kwa Dani Alves pale aliporushiwa ndizi na mashabiki kuonesha ubaguzi wa rangi kwenye michezo, lakini bila kuwajali aliamua kuiokota na kuila na akachonga kona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.