Wakuu, ni miaka mitatu now tangu nimemaliza huko mavumbini. Infact katika safari ya maisha yangu UDOM ndio sehemu ninayoikumbuka zaidi. Marafiki, routes za town, ujasi, hostel life e.t.c. Sikujua...
Karibu hapa uweze kushare pamoja nasi picha za magari mazuri sana. Unaweza kuweka picha ya magari unayoyahusudu au una ndoto siku moja uweze kuyamiliki siku ukibahatikiwa kuwa Mond au laizer...
Naona mabenchi matatu tu.Sijui waumini wanakuja na mabenchi yao
Mvua ikianza kunyeshq bila shaka na ibada inaishia hapo hapo,otea makanisa ya design hii huwa yanapatikan wapi?
Kama kwenu mlikuwa na moja kati hivi vitu basi bila shaka wewe ni wa kishua (familia bora).
Dishi kubwa jeusi la nyavu
King'amuzi cha Multichoice (M decoder)
Gameboy (Nintendo)
Video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.