Nilisubiri labda atakanusha na kwa kuwa amekua kimya naomba nitanabaishe dukuduku langu kwa hii barua ya Katibu Mkuu tunayeaminishwa ni msomi wa kiwango cha lami iliwezaje kuzagaa kwenye mitandao...
Wengine wakasema eti huyu ndiye ambaye ndege ya nchi yake imetunguliwa leo? Wengine wakasema hapana, huyu asili yake Afrika.!! Tena nchi yake haipo Asia! Daaah sasa nkapata shida kidogo kumtambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.