Huwezi jua kesho utakua nani,baki kuwa mwanachama muadilifu wa chama unachokiamini...Mhe Rais Magufuli akiwa anatoka kwenye kikao na ka-beg simple kenye nembo ya chama..Good memory.
Kumbe tembo ana nguvu kiasi hiki cha kuweza kuwashinda simba 14?
Jionee mwenyewe tembo kijana akiwachachafya simba 14 katika mbuga moja ya wanyama huko nchini zambia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.