Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Jionee mwenyewe, kama hakuna hata aliyeweka jiwe la msingi, basi bila shaka hiyo ni nyumba ya mtu binafsi.
2 Reactions
5 Replies
655 Views
...........,................................................................... UPDATES. Nimebaini kuwa mapenzi yanajengwa na mambo ya kijinga na kipuuzi kama;- -kujitumikisha kama huyo mama...
4 Reactions
75 Replies
4K Views
Hii ni kutoka Nrb
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Huu ni uume wa nyangumi aina ya blue whale, ndiyo unaaminika kuwa ni uume mrefu kuliko uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani. Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8...
5 Reactions
25 Replies
6K Views
Dawa ya mapenzi ndo hii usiteseke tena wewe tafuta majani haya tu utanishukuru
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Jummah Kareem
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Sheria ya sekunde 30 inatumika. Germs are not aware yet!
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam wakuu wa JF, Baada ya kumalizika kwa mechi pendwa sana hapa Afrika Mashariki na ngoma kuisha kwa droo ya moja moja, ingawa mnyama alikamia sana kushinda huu mchezo ama kwa kuloga au...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Buibui alitengeneza wavu kama mwavuli wa kujikinga na mvua iliyonyesha kwa mfululizo huko Qionghai, mkoani Hainan, China.
1 Reactions
3 Replies
806 Views
[emoji62][emoji375]
1 Reactions
0 Replies
479 Views
Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
0 Reactions
2 Replies
596 Views
Jaman dada zangu hasa maslay qeen mnapoenda kwenye majumba ya starehe jitahidin muwe hata na hela za kianzio wakati mnavizia madanga yajichanganye, hakika nimewaonea huruma sana hawa wakina dada
1 Reactions
16 Replies
2K Views
TRC inaendelea na kampeni ya uelewa Mwanza - Isaka
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Nimejikuta nawakumbuka tu. Hao ni wakali wa R&B US, dada anajua kuchana akishika Mic. Tupia nyimbo yao moja twende sawa.
2 Reactions
3 Replies
942 Views
Back
Top Bottom