Timu ya Serengeti boys wamechukua ubingwa wa mashindano maalum yaliyofanyika Rwanda maarufu kama Ferwafa baada ya kutoka droo ya magoli matatu kwa matatu.
Mashindano hayo yalishirikisha timu tatu...
Jamani wote mnaofuatilia TPL na Azam Confederation Cup, kuna kitu mtakuwa Mme note, kama mechi 10 mwisho za mashindano hayo ambayo Yanga imecheza kiwango kimeporomoka vibaya, sasa hivi Yanga...
Victor Mugabi Wanyama, ni jina kubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika michezo.
Amejizolea umaarufu kama mmoja kati ya viungo bora wakabaji katika EPL kwa misimu kadhaa akiwa na...
tanzania yapanda kwa nafasi kutoka 137 hadi 131.
kidogo mwanga kwa timu yetu ya taifa waanza kuonekana.
jiunge group la SUN POWER sports la facebook kwa habari na matukio mbalimbali ya kimichezo.
Imepita muda sasa Azamtv kupitia online app yenu mmeitoa channel ya azamsport, hivi karibuni pia mmeitoa ZBC2. Kwa kweli mnaumiza walio nje ya nchi maana ndio mlikuwa faraja yetu hasa kwa wapenzi...
Ninamkumbuka sn huyu mchezaj wa zaman wa simba anbaye kwa sasa ni marehemu"mwenyez mungu naomba umrehemu huko aliko na apumzike kwa aman Amen.My take ni kwamba kwa siku za hv karibun nimekuwa...
Jf, habarini za mchana, naomba kuuliza kwa anayejua App mzuri kwa simu za Android ambayo inaweza kustream mechi live za CAF Champions league naomba anitajie jina au anitumie. Nipo mbali na...
Klabu ya al ahly imeanzisha akademi katika nchi tatu hapa afrika ambazo ni Nigeria, Angola na Ghana.
Lengo la mradi huo ni kukuza na kuinua vipaji ili kufanya biashara na vilabu mbali mbali kote...
Rekodi za nyuma zinaonyesha kuwa Simba na TP Mazembe walikutana mwaka 2011 kwenye CAF Champions League raundi ya kwanza:
Mechi ya kwanza ilipigwa Dar- Simba 2, TP Mazembe 3.
Mechi ya Pili...
Kumekucha.
Kwenye droo ya jana,tumeona Simba itakavyopambana na Tout Puissant Mazembe.
Kwakweli sote tunajua historia ya Tout Puissant, ni timu ambayo ina rekodi nzuri sana kwenye michuano ya...
Na. Chiki Mchoma.
+255 712 885 999
Ni kama utata wa dereva wa boda boda au tax.
Pale ambapo ulimwambia utashukia sehemu fulani halafu mkifika sehemu hiyo anakwambia huko mbele siendi shukia hapa...
Wakuu, nimefikiri sana jinsi michezo ya kombe la ligi inavopangwa na nimeona ni bora wahusika wakabadiri aina ya michezo hii ambayo inadhamniwa na Azam.
Pendekezo langu timu zecheze mechi mbili...
Tumekua timu kituko kwa sababu ni kituko kukusanya michango kwenye vikapu vinavyoptishwa pindi mechi inapoendelea.
Binafsi ni mshabiki damu damu wa Timu ya Yanga na wala haitokuja kutokea...
Shirikisho la soka Ulaya (UEFA) imetangaza kuipiga faini club ya Chelsea kufuatia tukio lililotokea wakati wa mchezo wa UEFA Europa mwezi February ugenini dhidi ya Malmo, UEFA imefikia hatua ya...
WEEKEND HIII
Fulham, watakuwa nyumbani kuwakaribisha jeshi la Guadiola, kumbuka hapa Manchester city wana tetea ubingwa wao huku Fulham wana pambana na msala wa kuto shuka daraja, bonge moja la...
Wale wapenzi wa soka mpo? wale mashabiki wa Cameroon ya miaka ile mpo? Njooni tuwakumbuke mashujaa hawa wa kikosi hiki kilichojizolea mashabiki mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ulikuwa wapi wakati...
Aisee ukiwatizama unaweza fikiria ni under 23 maumbo makubwa mpaka unajiuliza kule kwao wanalishwaga nn?
Nipo naangalia mechi ya serengeti boys na cameroon ila mijaamaa imeshiba kinyama. Yani...
Usajiri mdogo ligi mbali mbali za ulaya katika hatua mwisho. Washika bunduki wa Highbury wamelamba dume kwa kumsajili kiungo wa Barcelona Denis Suarez..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.