" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "
" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "
" We Kocha ana Sura mbaya...
Habari za wakati huu....
Poleni na changamoto za maisha na majukumu ya kila siku....
Niende kwenye mada jamani nina plan ya kutaka kufungua Academy soccer ila wachezaji ntakuwa nabeba kila angle...
Wachezaji wanne Simba kutolewa kwa mkopo
Bamwanga Blog
Upana wa kikosi cha Simba kwa sasa umefanya baadhi ya wachezaji kukosa namba kikosi cha kwanza, Kocha Mkuu Patrick Aussems anataka kuwatoa...
Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.
Lusinde ametoa kauli hiyo...
Tena kwa taarifa yenu sasa ni kwamba kama kuna mechi ngumu kwa Taifa Stars na ambayo tukijiandaa nayo sana tutafungwa Goli chache sana 3 ila tukifanya maandalizi ya zima moto kuna hatari ya...
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati...
Hatimaye waingereza wamelipa kisasi cha Kombe la Dunia kwa wa Croatia. Wakitawala possession kuliko wa croatia kwa kiwango kikubwa wamewabwaga makamu bingwa wa Dunia kwa bao 2 kwa 1 Katika mchezo...
Mpaka jana usiku nilikuwa siamini kama Rais amewapa Taifa stars millioni 50 tshillings kama motisha ili waifunge Lesotho, mawazo yangu yote Rais alikuwa ametowa dollar million 50 ili stars ikate...
Nina matumaini makubwa sana wa Timu ya Taifa kushinda mchezo wa Uganda na kwenda Cameroon 2019
Timu Yetu ya Taifa imekua na tabia moja ikishinda mchezo mmoja, mara nyingi mechi inayofuata...
Nilipost before,
Kuinoa timu ya Tanzania kuna hitaji mwalimu anaewajua vizuri wachezaji wa Tanzania
Kiuelewa Julio ni zaidi ya Amunike kwa Timu yetu kuanzia lugha na kila kitu
Wadau, hivi tufanyaje ili twende Cameroon? Je tukiifunga Uganda na Lesotho wakaifunga Cape Verde idadi sawa ya magoli nani ana advantage? Tuanze kujadili namna ya ku move forward badala ya...
Tumepoteza "Golden Match", "Golden Chance" whatever you call it, but mechi ya jana imewaumiza Watanzania........Kocha amekuwa jeuri kama si Mkaidi mwenye husda na maendeleo ya Timu yetu ya...
Kwanza ukimfuatilia utadhani kuna kitu anakijaribisha. Yupo yupo tu , yaani yeye anadhani tumempa timu ili kumuenzi alivyokua anachezea lile li timu lao la taifa lao. Watu wakienda kufuatilia...
Wachezaji wa Simba SC ambao Waliitwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, wameondolewa kwenye kikosi hicho kwa kushindwa kuripoti kambini kwa muda uliotakiwa
Wachezaji hao ni Shomari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.