Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

My own expected line up Aishi Manula, Erasto Nyoni, Gadiel Michael,Abdi Banda, Kelvin Yondani, Himidi Mao,Shiza Kichuya, Mudathir Yahya, Simoni Msuva, John Bocco, Thomas Ulimwengu. Tutamkosa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu heshima mbele, nimewiwa kuandika hii sredi baada ya kufuatilia historia ya muanzilishi na mmiliki wa limbe leaf baadae Tukuyu stars Ramnik Patel, kwa ufadhili wa huyu mhindi Tukuyu stars...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kipigo cha goli 1-0 walichokipata Cape Verde leo Nambole stadium kimeongeza matumaini ya timu yetu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuvuzu Afcon itakayofanyika nchini Cameroon. Stars ambayo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kamwe cjawah kuona tija ya kumwita ulimwengu hajitambui kabsa awapo uwanjani anakimbiakimbia na kuzunguka na kukosa welekeo hajitambui kabsa wajibu wake anatumia nguvu nyingi bila msingi wowote...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
mechi ya tz vs lesotho inaonyeshwa app/website ipi kwa wanaopendelea kutazama kwenye gadget.
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Timu ya Fulham inayoburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu ya England imemtimua kocha wake Slavisa Jokanovic baada ya kuambulia pointi 5 tu katika mechi 12 , nafasi yake imechukuliwa na Mkongwe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
kwa kifupi ni kama vile burndi,kenya na uganda walisha qualify tukaze na sisi tupite for the fisrt time afcon iwe na teams 4 toka east africa
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hbr bandugu, Kesho ndo tutajua hii kauli ya mzee wetu bado ipo au imekufa. Tukikosa kesho, labda undugu wa Jiwe na mu 7 utatusaidia tena.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Live update Uganda vs cape Verde Live ZBC2 Game on
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ili kukata mzizi wa fitna, kama kweli wanachama wanamhitaji manji na yeye amerithia, wamchukulie form ya kugombea, then wampitishe kama mwenyekiti wao kwa kura, kama TFF walikuwa na mtu wao walio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hope mko poa wakuu niko curious bei za gym zikoje dar preferably za mitaa ya makumbusho mpka mwenge
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari njema ni kuwa uganda imempiga tena cape verde kwa goli1 kwa 0 hii inamaanisha imefikisha pointi 13 zisizoweza kufikiwa na timu yeyote huku ikibaki na mchezo mmoja wakati Tanzania ina point...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
balaaaaa,Mungu wangu namba mbili ni bora acheze Nyoni,akiwekwa kessy utakuwa uchochorooooo
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tangu timu ya taifa imeshiliki mashindano ya afcon kwa mala ya kwanza na ya mwisho kuna watu walikuwa hawajazaliwa sasa hivi niwababa watu wazima na familia zao, wengine walizaliwa mpaka wamekufa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nadhani bw.Yusuf Manji anafuata taratibu za mwenyekiti wa CUF mh.Prof.Lipumba za kuandika barua ya kujiuzulu halafu unarudi tena kuwa hukujiuzulu.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mzuqa, Natanguliza ombi la msamaha kwa ndugu zangu humu jamvini kwa njia flan au nyingine nimewaudhi. Sisi wote ni ndugu. Tarehe 18 keshokutwa stars watakutana na Lesotho kuwania kufuzu Afcon...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Mabingwa wa nchi ya Tanzania Simba Sports Club inatarajia kukwaruzana na Klabu ya Nyasa Big Bullets FC ambao ni vinara wa ligi kuu nchini Malawi Ijumaa ya Novemba 16, 2018 katika uwanja wa Taifa...
3 Reactions
59 Replies
10K Views
𝐌𝐚𝐧𝐣𝐢 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐬𝐞𝐤𝐮𝐧𝐝𝐞 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐭𝐮. 𝐊𝐮𝐢𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐚𝐮 𝐤𝐮𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐀𝐟𝐲𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐀𝐟𝐲𝐚 𝐲𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚. 𝐏𝐥𝐞𝐚𝐬𝐞 𝐩𝐥𝐞𝐚𝐬𝐞!!
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Wakuu pole na stress za Korosho, kesho timu yetu ya taifa(Taifa stars) inashuka dimbani kukipiga na Lesotho. Lakini habari mbaya tutamkosa naodha mbwana Samatta. Je pengo lake linazibika ...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno? Nb. Kaduguda...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom