Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Najiuliza maswali mengi bila majibu!!! hivi kilichomleta Kocha Maximo kuja kufundisha Yanga ni njaa au....!!!??? maana nijuavyo mimi kwa mfumo wa kisoka uliopo Tanzania ....hata aje Wenger lazima...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama ID inavyojieleza. Utambulisho huu unastahili hasa jukwaa la Michezo, ila kwa itifaki ya JF imebidi niuweke huku. Rugby ni moja kati ya michezo ya nguvu na kasi zaidi unaochezwa na wachezaji...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Updates from Friday, July 11 Sports Illustrated's Lee Jenkins has the exclusive report on LeBron James' decision, in James' own words with the final lines reading:In Northeast Ohio, nothing is...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Uganda - 87 Kenya - 95 Tanzania -106 Full list here The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com Ahead of Sunday's Africa Cup of Nations qualifier, the national team Harambee...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwaza kabisa niwape pongezi nyingi kwa kutuletea michuano yoote ya kombe la dunia na marudio yaki ijapokuwa ilikuwa haituhusu. Hakuna timu hata moja ya ukanda wa Afrika mashariki na kati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Lina Kessy ameteuliwa kuwa Ofisa Michezo wa Umoja wa Afrika (AU). Uteuzi huo umefanywa na Mwenyekiti wa Kamisheni ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naomba kuwauliza wadau ratiba imetoka? Misonye katibu wa kudumu milele baada ya kupanga makundi alisema wiki hii itatoka tarehe ya kuanza mashindano
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza wanaichukulia kama timu ya TFF, pili wachezaji wetu wa wa tanzania hii wavivu kwa mazoezi wakipata kocha mpya wanajitahidi sana wakimzoea wanajiregeza wachezaji nawaomba hebu mkaze mwili...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Timu ya Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola imewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa Glasgow, Scotland jana usiku wa kuamkia leo kwa ndege ya Shirika la ndege la Falme za Kiarabu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
UPDATES: MATOKEO YA MWISHO TANZANIA 0 - 0 aFRIKA KUSINI Mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania(Serengeti Boys) na Afrika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Markovic alikuepo? Lambert je? Lallana nae hakuepo ama? Imekuaje wamepigwa? Au ndio benz limeuzwa vitz zinakunywa sanaa mafuta!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Starting next week, all eyes will be on Glasgow, Scotland, as Kenya begins its quest for medals in the 20th Commonwealth Games. The Kenya squad of 195 athletes is the largest since the 2012...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Added on May 29th, 2014 Belgium born Kenyan Divorck Origi will be making a milestone as he turns out for Belgium National team in the 2014 Fifa World Cup. Divock Origi 66 rating - FIFA 14...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
chancellor wa ujerumani pichani aliushangaza ulimwengu pale aliporuka toka katika kiti chake mbele ya rais wa ujerumani na rais wa fifa s.blater wakati alipokuwa akishangilia goli lililofungwa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fikiri sasa hiyo tuzo angepewa nani robben tayari ana kashfa ya diving jr tayari mfungaji bora pia colombia imeishia robo final muller huwezi kumpa koz germans hawakumtegemea mtu binafsi kufika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naambiwa imeanza jana viwanja vya Karume, Dar es Salaam ikishirikisha vijana chini ya umri wa miaka 17. Nimejaribu kusaka taarifa mitandaoni sioni, lakini nina imani redio za hapa nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto anatarajiwa kuwasili kesho Saa 1:30 asubuhi kwa ndege ya Qatar Airways, akitokea Qatar anakocheza soka ya kulipwa. Mchezaji huyo wa zamani wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shirikisho la soka duniani FIFA, limeisimamisha kwa muda timu ya Taifa ya Nigeria kushiriki katika mashindano ya Kimataifa kutokana na Serikali ya nchi hiyo kuingilia kati michezo ya timu hiyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
why athletics kneel down before the race? The answer is more scientific mkuu. It has something to do with laws of motion and biomechanics. Nijaribu kurahisisha lugha, kuna nguvu za asili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi wanajamvi kuna ulazima gani hasa kutumia resources za taifa hili kufanya ghafla ya kufunga kombe la dunia? Inanishangaza kuona mali za nchi na hata muda adimu wa nchi hii watu wanakaa na...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom