Hiyo ndio tunaweza kusema ndio kauli yetu kwa sasa yaani ni kichapo tuuu katoka mtaa mmoja hadi mtaa mwingine....Wanakwambia mwenge hauruki kijiji, lazima kila anayekuja achukue DOZI yake arudi...
Wiki hii ni mbaya kwa watani zetu Yanga
Kukosa ubingwa
Uwanja kugeuza ziwa malawi baada ya kujaa maji
Kupigwa stop rasmi ya kujenga uwanja uitwao wa kisasa eneo hilo kwakuwa ni njia kuu ya maji...
Hi wadau, najua wengi hapa tunacheza PES 2013 au hata 2014, sasa ni sentens gani toka kwa
commentator unaipenda zaidi?? mimi yangu ni Nearly !! But in football term, nearly
is no where
Hi wapenzi wote wa soka!!!!
hasa wa Barclays Primier League maarufu kama English Primier League. Hii ni special thread ya ligi nzima sio ya club ni ya timu zote zinasoshiriki ligi kuu ya...
KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View jijini Mbeya.
Kitu gani...
Sherehe za Timu yetu ya Madrid ziliingia Dosari pale beki mwenye sifa ya kadi nyingi za adhabu kuponyokwa na Kombe la Mfalme alipokuwa amelibeba huku akishangilia lilianguka mbele ya basi na basi...
Kenyans held 3-3 by Italy: Hosts come from 2-0 down to draw in Nyayo Stadium duel
Zottino Francesco of Iytaly (left) and Kenyas Michael Kyalo during the friendly match at Nyayo Stadium...
Jarida la Forbes la marekani limeitaja klabu ya Real Madrid kuwa na thamani ya 3.3 billion, huku klabu ya Manchester United ikishika nafasi ya pili ikiwa na thamani ya 3.16 billion.
Kumi 10...
Ligi inaisha sasa na hatuna budi kuipongeza timu yenye uhakika wa takriban kila kitu sahihi ya Azam kwa kuchukuwa ubingwa. Kitu kinachofedhehesha ni UTOVU wa nidham uliooneshwa dhahiri pasi na...
Ligi kuu ya voda com inakwenda ukingoni. Pamoja na ligi hiyo kwenda ukingoni tumeshuhudia ubabaishaji wa hali ya juu hasa kipindi hiki cha mechi za mwisho. Timu zilionyesha wazi kupanga matokeo...
Dah mwaka huu kwangu ilikuwa majanga tu, Man United mapema tu ikatoka kwe mbio za ubingwa,Simba ndo yale yale,Chama langu la miaka yote Pamba ndo likashuka na daraja kabisaaaaa.Hapo ndo unaona...
HATIMAYE mbio za miezi saba ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara, zinaanza leo kwa miamba 12 kushuka dimbani huku bingwa mtetezi, Yanga akianza na wageni, African Lyon kwenye Uwanja wa Uhuru...
Katika mechi tano za mwisho za ligi kuu huko Australia waamuzi watalazimika kuvaa vinasa sauti ambavyo hata watazamaji watakaokuwa wakifuatilia mechi hizo katika TV watapata wasaa wa kusikiliza...
Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA)Jamal Emil Malinzi akizungumza na Wajumbe waliojitokeza katika mkutano huo wa Utekelezaji wa Chama cha Mpira wa Miguu (KRFA) Mkoa wa...
I am looking for steroids in Dar es salaam that are used for muscle gains ...I do not require any advice on the side effects of steroids only the PLACE as to where I can buy them...
NATAFUTA...
Manchester City are the best paid team in sport, according to a new report.
Sportingintelligence's survey says the Premier League club pay an average annual wage of £5.3m to its first-team...
Mo Farah made his competitive debut in the London Marathon and finished in eighth place.
He had hoped to beat the British record of two hours, seven minutes and 13 seconds, but missed out by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.