Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wale mlioshuhudia mpira wa 70s na 80s,na mliomuona sunday manara akicheza,najua kwamba alicheza yanga,pan na uholanzi Heracles, kuna mtu ananiambia nyie awa kina messi ni kama kina sunday enzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Thursday, 04 April 2013 17:33Written by Mwandishi wetu Mchoro wa Uwanja wa kisasa wa Klabu ya Yanga Mchoro wa Uwanja wa Kaunda utakavyo kuwa ndani Dar es Salaam WAKATI...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimesikitishwa sana na kuiona simba pekee katika maelfu ya ordha ya timu za mpira duniani, nilianza kuongalia club bora duniani ni B/M ya ujerumani man timu yangu ni ya nne nikaja nchi bora...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa kwenye mechi kati ya Villa squad na Simba. Matokeo yalikuwa Vila 1 Simba 0. Mfungaji alikuwa Nsa. Kumbuka mechi hii ilimalizika Vila wakiwa 8 uwanjani baada ya redcard za ajabu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Napenda kuwataadharisha viongozi wa Azam FC kuwa wasione wanashangiliwa mno hivi sasa wakajisahau, kumbukeni nchi hii ina virusi viwili katika soka letu navo ni Simba na Yanga. Virusi hivi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wadau kwa mitazamo yenu naombeni mnitajie mikoa top 3 mnayoiona ina vipaji lukuki vya soka
0 Reactions
19 Replies
4K Views
WanaJF forum za Leo! Leo katika pitapita zangu mitandaoni nime kutana na jina la mchezi wa mlinzi wa timu ya Mamelodi Sundowns ya A. Kusini. Jina lake linaandikwa kama Method mwanjali au mwanjale...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya jana kushuudia mchezo na Yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli 3 - 0 dhidi ya Oljoro JKT,leo tena jioni tutashuhudia mtu na wifi wakimenyana kinafiki uwanja wa Taifa mara nyingi sana...
0 Reactions
169 Replies
21K Views
mjumbe wa fifa anakuja kesho kusikiliza pande zote juu ya uchaguzi wa tff
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpira ni wa kasi balaa ila kwa mtazamo wangu ni kwamba Chelsea hapa hawana bahati Kila la Kheri Man City na copy hii imfikie Saharavoice popote pale alipo!
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Yani leo ni siku ya kihistoria sana kuna kitu kitafanyika pale uwanja wa taifa.Kama hujui leo washabiki wa YANGA na SIMBA wote wataungana kumshangilia MNYAMA wa MSIMBAZI pale atakapomenyana na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Sishangai nikiwa ukumbini kuanzia mashabiki wa Man u,Madrid ndo usiseme,Ase8,PSG,AC Milan,B Munich hadi Mancity wote...wakiwa wanashangilia timu pinzani inayocheza na Barca hata kama hawaijui au...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni saa 10.00 taifa. Leo tunamvua rasmi Simba ubingwa! Sasa kila mechi tutakayokua tunashinda ya ligi kuu kila mchezaji atalamba 70,000 cash. Pia mabilionea Abdallah Binkleb na Seif Ahmed...
1 Reactions
161 Replies
14K Views
Mnasemaje kuhusu hii kitu wakuu, huu si ndio mwanzo wa mpira wa miguu kuanza kutumia technology kwenye kila kitu,imeanza kwenye goli,mara itakuja kwenye kuzidi,halafu ipo siku viatu vitatengenezwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya ni mawazo ya mmoja wa wapenzi wa soka
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Man United : $2.24 billion 2. Real Madrid: $1.87 billion 3. Barcelona: $1.31 billion 4. Arsenal: $1.29 billion 5. Bayern Munich: $1.26 billion 6. AC Milan: $989 million 7. Chelsea FC...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa hili,naomba kujitambulisha na hapa kwenu pia.
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Mabingwa wa Tanzania Simba inaandaa barua ya kudai fidia ya Sh. bilioni 1.5 toka timu ya Azam kutokana na kitendo cha club hiyo kuwashitaki wachezaji 4( agrei morris, erasto nyoni, said morad na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo tena, itajulikana jinsi zitakavyo chimbika nyasi baada ya Barca kupita kwa bao la ugenini, bilashaka atakumbana na timu kali sana, inayocheza kwa mikakati na malengo ya hali ya juu. Wadau...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
It has been said Jose Mourinho will make Real Madrid midfielder his first signing as Chelsea boss should he return to Stamford Bridge this summer. The German joined Real from Stuttgart in 2010...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom