Kama kawaida nishafika uwanjani, timu zote zishaingia na zinapiga jaramba hawa Wamorocco wanaonyesha wako fiti na wepesi na wazee wa touch sana inabidi tutulie kama twahitaji kuondoka na...
Jamani hili linawafanya wengi hata kutokuwa na amu ya kuangalia mechi ule uwanja
hivi vyoo ukienda utasema wako tandale pili akuna watu wanaokuwa wakisafisha kila mara maana wanatakiwa wajue zile...
Tabia ya kuleta makocha wakigeni yaelekea siyo muarobaini wa kutufanya tutambe kwenye viwanja vya soka duniani lakini hatua hizi zaweza kutusoge za mbele ya hapa tulipo:-
a) Kutambua ya kuwa...
mhh hii hadithi hii sio ya kucheka . Klabu yenye mafanikio makubwa kama liverpoo inaweza kuingia kwenye matatatizo haya .
Klabu yenye mfanikio makubwa ndani ya uwanja kuliko hata asernal...
Wadau mechi ya jana imepita na kisago tumekishuhudia. Bado tuna mechi nne,mbili away na mbili nyumbani. Nafasi ya kufaulu bado tunayo? Ndiyo tunayo.Swali: Ushauri gani tuwape TFF wa kuboresha timu...
WanaJF, NAOMBENI mwenye kukumbuka vema anitajie kikosi kilichoifunga sports club villa ya Uganda mwaka 1991 au 1992. Enzi za akina Majjid Musisi, Hassan Hafif na Zamoyon Mogella. Pia nijulishen...
Kwa alie karibu na kocha mkuu wa taifa kwanza nampa pole kwa yaliotokea leo jioni
pili naomba ajitayarishe sasa kuwsikia watanzania halisi ni wapi na si wale waliomshabikia draw ya algeria...mpe...
Usipocheka Niambie
Tanzanian's Immigration Department gave a statement as to why the friendly game between Japan and the mighty Taifa Stars was cancelled in the 11th hour:
"Ni habari za...
Haya tena weekend ijayo kutakuwa na mtanange kati yetu na Morroco pale National Stadium na hii itakuwa mechi ya pili ya kimashindano ya kocha Poulsen baada ya ile ya sare ya 1-1 dhidi ya Algeria...
Mtanzania Suleiman Nassoro ametangaza nia yake ya kuinunua klabu maarufu ya liverpool.SWALI Je ni kweli huyu bwana mfanyabiashara ana uwezo wa fedha za kuinunua hiyo klabu au ni kutaka umaarufu?ni...
The world soccer governing body, Fifa, on Monday finally decided to slam Nigeria with a suspension with immediate effect.
Fifas emergency committee after weighing all the evidences before it...
Huu ni ushauri toka kwa Dr.Bruno Munufu aliyepo safarini uarabuni kwenda TFF,tafadhari wapange mechi kati ya Taifa Star na moroco ichezwe tarehe 10/10/10 kwani siku hiyo ndio haswa yenye bahati...
Kwa mara ya kwanza FIFA wametoa kauli kupinga RAFU za kijinga zinazotishia career za wachezaji wa mpira wa miguu. Kuna baadhi ya mameneja wa timu kubwa wamekuwa wakilalamikia RAFU zisizokuwa na...
Born in the Democratic Republic of Congo, Dikembe Mutombo came to the United States on an academic scholarship to study medicine at Georgetown University. But his career path soon changed after...
Wanandugu niko karume namwona kijana wangu hapa nimecheka mpaka basi...ikabidi niende msalani gafla kabla ya kukuta flagin nimewekewa kwenye meza nkawambia nyiee mi siumwi ila tanzania kuna mambo...
October 6, 2010
Liverpool's board of directors have announced the sale of the club to New England Sports Ventures (NESV) despite opposition to the deal from American co-owners George...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.