Swali langu wana JF ni juu ya huu mchezo hatari wa MIELEKA (wrestling), ambayo tunaiona kwenye TVs ikichezwa na mabaunsa wa huko majuu.
Je kwanini watu wale hawaumii, kutokwa damu au kufa kabisa...
Manchester United chief executive David Gill insists Sir Alex Ferguson will continue to manage the club for 'a number of years'.
Ferguson secured his 11th Premier League title at United with...
Da kweli wala sijafurahi sema ndio maana sikuwa director, ilikuwa ni series nzuri mno na nafikiri wengi wetu tuliipenda sana ila ndio hatuna ujanja na kiukweli director alijitahidi sana na kwa...
Leo inaelekea Federer atamuadhiri Nadal nyumbani kwao katika Final ya best of 3. Tayari Federer kashinda set ya kwanza kwa 6-4 na ya pili yuko mbele kwa 4-2.
Mgonjwa: naumwa sana
DR: Kazi?
MG: nilikuwa Afisa GTV
DR: Akiba unayo?
MG: Yote ipo DECI
DR: Unakaa wapi?
MG: Mbagala karibu na kambi ya jeshi
DR: Uba mume
MG: Hata nina Boy Friend anaitwa nani...
Huwa nina sikitika sana ninapokuta watu, wabantu kabisa wa Tandika, Gairo, Mlalakuwa na sehemu nyingi nyingine za Tanzania wakijiita mara mimi Arsenal, yule Liverpool, mara ManU zaidi, tena...
Nizar Khalfan aitwa Tottenham
Imeandikwa na Anatazia Anyimike; Tarehe: 13th May 2009 @ 10:37
KIUNGO mahiri wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Nizar Khalfan ameitwa na timu ya Ligi Kuu ya...
Wenger vows to strengthen squad
BBC News Online
Arsenal boss Arsene Wenger will splash out in the summer after conceding he needs to strengthen his squad.
Last week's defeat by...
Mchezaji wa Liverpool Steven Gerrard amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2009 kupitia chama cha waandishi wa habari za mpira wa miguu cha Uingereza (FWA).
Hongera kaka Stevie
Selebuka nayo...
TAIFA STARS
DRC
mshambuliaji hatari wa kongo alain kaluyituka dioko
ambaye kaiua taifa stars leo kwa kufunga mabao yote mawili. kijana huyu mwenye umri wa miaka 25 anaichezea T.P Mazembe ya...
Baada ya Maxcimo kuchezeshwa Nzawisa na Chamukwale na kukubali kipigocha bao mbili bila na Bakongo, aliibuka jana na kudai kuwa wale mashabiki ambao walijitoa kimasomaso na kuibeza timu yake...
There is one sure thing: Euro 2008 in Austria and Switzerland starts with the opening fixture, the first game taking place on 7 June 2008 at Basle's St Jakob Park.
Another sure thing is that...
Champions League - Arsenal fan hangs himself
Eurosport - Wed, 06 May 15:38:00 2009
An Arsenal fan in football-mad Kenya hanged himself wearing his beloved team's shirt after their defeat to...
This is exactly what I would have said about this fight, najiandaa kukesha usiku wa leo, this is probably going to be the fight of the year, expect a lot of bomb explosions.....
I could provide...
Winga wa Yanga ya Dar es Salaam na timu ya soka ya taifa 'Taifa Stars', Mrisho Ngassa ameanza majaribio katika timu ya West Ham United ya nchini Uingereza, lakini kukiwa na wachezaji wengi...
Wakuu heshima mbele. Nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana jinsi gani makampuni mbali mbali yanavyojitokeza kudhamini timu kubwa mbili za soka Tanzania yaani Simba na Yanga. Si jambo baya ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.