Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba.
Halafu umewaongezea...
Msimu umetamatika kwa wapenzi wa soka, yapo matukio yanayoumiza na yapo yanayofurahisha. Furaha za matukio huzidiana hivyo ipi kati ya mechi hizi tatu za Yanga ilikufanya uwe na siku bora zaidi...
Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia.
Wawili hao walioana mwaka 1966 na...
Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani.
Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na...
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu.
Waziri Nchemba...
Gervonta Davis will square off against Frank Martin on Saturday night. Photo by Al Bello/Getty Images
The Gervonta Davis vs. Frank Martin fight card will feature four title fights at the MGM Grand...
UCHAMBUZI WA ALICHOKIONGEA MANGUNGU CLOUDS
Wana Simba Msidanganyike na kurudi nyuma kwa maneno ya Ngungu.Kwanini
1.Kuenndelea kwake ni Mwendelezonwa visasi kwa wanachama
Jana tumemsikia wazi...
Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba.
Halafu umewaongezea...
Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata...
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji!
Hii kitu...
Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja...
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
I will be short.
rules after wealth
1. Utajiri bila watu ni useless. (power)
Mo leo hii anakutana na raisi wa FIFA na CAF easily kisa simba,
Easy business due to simba.
Anafatiliwa in social...
MANGUNGU [emoji119]: KWA MASLAHI MAPANA YA KLABU YETU,NITATOA PESA ZA USAJILI.
Pesa za usajili Nitatoa mwenyewe Kwa kushirikiana na Wanachama na wapenzi wa Simba, Sasa nipo kutafuta mkurugenzi wa...
Wakuu
Nimeskia sana tetesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya Yanga na Mazembe
Means Musonda kwenda Congo na Baleke aje Yanga.
Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana...
... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘
"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la...
Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.