Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia...
8 Reactions
74 Replies
6K Views
Badala ya Viongozi wa Upande wa Wanachama kuja na majibu kuwa mchakato unakwama wapi na wanamsaidiaje mwekezaji kumaliza mchakato ili asiendelee kutoa pesa zisizo kwenye makubaliano nao wako busy...
2 Reactions
4 Replies
273 Views
Habari mwanajukwaa. Jana kwa jirani moto umeanza kuwaka kumbe ule moshi ulikua unavuka ndani kulikua na moto hatukujua tu.😂 Zile ngonjera za kuwafunga kina GB 64 na kusema wanaihujumu timu. Mara...
3 Reactions
7 Replies
280 Views
Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja...
15 Reactions
43 Replies
4K Views
Nauliza kwa sasa tunaona UMISETA na UMITASHUMTA unafanyika, serikali imetenga fungu lakini matokeo yake ikifika hatua ya kitaifa yaani mfano tumepata vijana kikosi cha taifa kwenye football...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Aliyewahi kuwa mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez huenda akawa mwenyekiti mpya wa bodi ya wakurugenzi Simba, kuchukua nafasi ya Salim abdallah 'try again' ambaye anatajwa kujiuzulu nafasi hiyo...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Nimeshitushwa sana na tetesi za binti Gonzalez kuhamia Yanga na imenipa maswali fikirishi ambayo yamenifanya NALIA NGWENA nije kushea na wajuzi jamvini. 1/ je vile vijembe Babra Gonzalez kule...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba...
18 Reactions
119 Replies
14K Views
Ndani ya siku hizi mbili amekuwa akipost jumbe ambazo zimewaweka njia panda wadau wa Soka nchini Tanzania na zote ni kama zinamlenga mtu mmoja tu. Kwa mliosoma Cuba tutafutieni huyo mwamba...
10 Reactions
224 Replies
15K Views
KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba . Huenda kufikia leo yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu. kama mambo yataenda sawa Leo au kesho Barbara Gonzalez atatangazwa kuwa Mwenyekiti na
9 Reactions
40 Replies
4K Views
... 🗣️ 𝗕𝗔𝗕𝗥𝗔 - 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗟𝗜𝗣𝗪𝗔 𝗣𝗘𝗦𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗘𝗡𝗚𝗘𝗡𝗘𝗭𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗣𝗔𝗚𝗔𝗡𝗗𝗔. "Propaganda zilizofadhiliwa zimefikia hatua ya kuchukiza sana kama vita za kisiasa. Kwani hatuwezi kuona kikamilifu nyuma ya hii...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa. Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
"Tatizo kubwa la Simba ni kuajiri watu wasio na weledi. Kama Simba SC wanataka kufanikiwa wanapaswa kuachana na watu wasio na weledi" "Simba kwa sasa inahitaji 'PROFESSIONAL PEOPLE' watu wenye...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya wababe Simba, Yanga na JKT, hatimaye timu ya Simba wanawake wameibuka mshindi wa kombe hilo la Ligi kuu wanawake baada ya kuifunga Alliance girls ya...
2 Reactions
11 Replies
576 Views
ANGALIZO TU TUNUKUU TAR YA LEO .KWA USHINDAN WA TIMU ZIJAZO LIGI YA NBC SIMBA NIWAPE TAHADHARI MSISHANGAE MKAWA WA NNE LIGI INAPOKWISHA NA MSISHANGAE N MABADILKO NCHI TUUU ANDIKA TAR YA LEO NA...
1 Reactions
6 Replies
478 Views
Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Back
Top Bottom