"Sisi hatushiriki Muungano Cup kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,lakini tutakwenda Zanzibar kufatilia hali ya my wetu" - Alikamwe.
Ambapo tutajua amekula nini, amefikia wapi, ameimprove vipi...
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki...
Baada ya TFF na bodi ya ligi kuhakikisha timu ya Yanga inadondosha point, tegemeeni taarifa ya kuufungia uwanja huu kuanzia kesho.
PIA SOMA:
- FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League |...
Msimu uliopita makolo walijigamba kuwa wachezaji wake wote waliibiwa Kwa Yanga pale walipokanyaga tu airport....Kwa msioelewa ni hivi ....Yanga inatafuta wachezaji then inawakodia ndege but...
Penati ni halali labisa kwani ni Upumbavu tu wa Mabeki wetu ( hasa aliyesababisha Penati Hussein Kazi kutokuwa na Akili ya kufanya Tactical Tackling kwa Mchezaji mzoefu na mwenye Akili Kubwa za...
As-Salaam Alaykum
(Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu.
Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia...
Ni tetesi sio habari ya uhakika
Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini (GBT) amesema sekta ya michezo ya kubahatisha imekuwa chanzo cha ajira kwa wengi nchini akiwemo yeye mwenyewe ambapo mpaka sasa zaidi ya...
MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali...
Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu...
MAVUNDE CUP 2024
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ,Diwani wa Kata ya Ng’ongh’ona Mh. Loth H. Loth pamoja na Diwani wa Viti Maalum Mh. Janeth Kusaduka na viongozi wa CCM kata...
TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania...
“Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na...
“Biashara ya Simba ishakuwa ngumu msimu huu, Ni ngumu kwa Simba kuvuna alama tatu kwa mechi zilizobaki kutokana na kufanya vibaya uwanjani mara kwa mara” - @nasrikhalfan_
@sportsarena88.9...
Benchikha alipokuja tu Simba, niliwahi kuja na nyuzi mbili nikitoa tahadhari kuwa mafanikio yake yanaweza kuwa duni kutokana na hali aliyoikuta Simba. Kwanza niliongelea suala la quality ya...
Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa.
Taarifa zaidi zitafata
Habari.
Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans.
Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye...
Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.