Naombeni kufahamu kuwa nomesoma reviews nyingi Sana kwenye trustpilot na mitandao Kama Quora, YouTube wengi wanalalamika kuwa bet365 ni wezi na matapeli wanaofungia watu account. Je hili ni kweli...
This is Souleymane Sane, a former Senegalese international player, he represented Senegal in 1994 Afcon, he is the father of Leroy Sané who is representing Germany.
He gave his son Leroy because...
Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake...
Kwanini hizi team uwa hazidumu kwenye ligi na zinaongoza kwa matokeo mabaya??Na sio Bongo pekee ni E.Africa ndo tuna ili pepo la team za majeshi ligi zilizoendelea kiafrica kama S.Africa na...
Ushauri huu ufike moja kwa moja katika shirikisho la mpira Tanzania (TFF), nilikua naangalia ratiba za wenzetu waliotuzidi kimaendeleo ya mpira wa miguu, nikili tu kiukweli ratiba zao hazina...
Wakuu
Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu
Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!
Team ipo ipo tu imepoteza...
Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe!
Atayefungwa kataka mwenyewe!
Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi...
Siku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league.
Hivyo sio mbaya wadau wa soka tukajadiliana na kutoa mitizamo mbalimbali...
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua"...
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli...
Sasa ndiyo Nini kumpanga kipa namba tatu gem ya mtani kama siyo dharau?
Eti unampanga Mzee Nyoni pale kati huwaogopi kina azizi ki aucho kina msondongoma jamani[emoji23][emoji23] halafu...
Wanasimbaaaaa!
Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi.
Simba wameweka mpira wetu kwenye ramani misimu 5 sasa na kufanya hata...
Kwanza kabisa niwapongeze watani Kwa ushindi wa derby......nilikosa mechi kutokana na safari ya USA.....
.ALI KAMWE|+
[emoji860]"Ushindi wa Kolo naufananisha na ushindi wa mke wa Achraf Hakimi...
Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na...
Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga.
Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa.
Najua kuna Mazuzu ( Majuha )...
Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani
Geay alifanikiwa kumaliza...
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.
Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.