Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wana Lunyas nani awe kocha mkuu kati ya hao mabwana wawili, Robertnho wa Vipers ya Uganda au Bwana Julian chavelier wa ASEC Mimosa? Kwa upande wa Bwana Robertnho wa Vipers msimu jana kacheza...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters ) Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
"Kesho nataka kwenda TFF Kumuombea Msamaha Haji Manara na naamini watanisikiliza na kumsamehe" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC (Clouds FM Sports Extra). *Waliyopanga watu wa kwenda kuigiza Filamu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hey, guys! What about you fav sports to betting?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ? Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Hawa al hilal wanaogopa saana mayele
2 Reactions
7 Replies
813 Views
Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali Wanasajili wanachama online which...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan...
15 Reactions
51 Replies
4K Views
Inasadikika kuwa aliyekuwa mshambuliaji raia wa serbia, Dejan Georgijevic yupo mbioni kutimkia nchini misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria) kuungana na aliyekuwa kocha wa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Messi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani. Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Huu ndio ukweli wanasimba wenzangu mkubali au mkatae.. Tuna ombwe kubwa la uongozi pale Simba S.C Tatizo la timu kukosa head coach paka sasa wakati ligi imeanza na tuna malengo yakufika mbali...
4 Reactions
8 Replies
790 Views
Klabu ya Yanga imemteua Mchambuzi Ally Kamwe kuwa Afisa Habari mpya wa klabu hiyo huku Privaldinho Abiud akiteuliwa kuwa msimamizi Mkuu wa Digital (Digital Manager) kwa lengo la kusimamia...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali. 1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007)...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake? ==== Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya...
15 Reactions
85 Replies
9K Views
Wewe ni mtu wa pili kuweka wazi kuwa nchi hii si wote mashabiki wa timu za Inglandi. Pana katabia ka baadhi ya watu hapa nchini kutaka kuwalazimisha watu wengine wawe kama wao katika unazi katika...
1 Reactions
1 Replies
501 Views
Moja kwa moja kwenye mada!! Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa...
7 Reactions
119 Replies
10K Views
HAALAND VS MAYELE ERLING HAALAND MECHI 9 EPL 7 GOALS 11 UEFA CL 2 GOALS. 3 TOTAL GOALS 14 HATTRICK. 2 FISTON MAYELE. MECHI 7 Ngao ya jamii 1 Goals 2 Ligi Kuu 4 Goals. 3 CAF CL 2 Goals. 6...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Hongera zao
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom