1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka...
~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught...
Wandugu,
Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi.
Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
Kila jukwaa lina watu ambao wanakuwa ni members ‘zaidi ya wengine' tokana na mapenzi ya kila member. Katika majukwaa yote hili la CC limekithiri tabia za uchochezi na undumilakuwili kwa...
Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba...
Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi...
Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji...
Binti Sayuni03 maneno yako ni mithili ya upepo mwanana unaovuma kwa utulivu, ukigusa kila kona ya mawazo yangu. Kuna haiba isiyoelezeka katika jinsi unavyoandika, hisia zinazopenya bila hata...
Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale...
Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani bado nchi hii ina ardhi kubwa sana tena yenye rutuba na fursa nyingine nyingi
1. Unaamka saa kumi kuwahi Gari
2. Unafika kwako saa nne usiku na...
Bado unalalamika???au ushakubaliana na mpango wa kuja VETA
We njoo VETA ila jua kuwa
1.tunawahi namba,ukichelewa Kuna adhabu Kali sana sio poa
2.Hatutongozani,mambo ya maboyfriend na...
Kwema wakuu!
Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani?
Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata?
Unaweza pia kushare uliitumiaje?
Cc: Mshangazi dot com | Demi...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo.
Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye...
Nikiwa chuo mwaka wa pili hii siku ilikuwa ni siku ya game ya UEFA (UCL knock out stage) kati Liverpool na team flani siikumbuki.
Kawaida yangu game kama hizi mara nyingi nilikua naangalizia...
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.