JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
[emoji121] WAKUU! MIMI HUWA SIJARIBIWI! HAPA KITAA KUNA DOGO WA FORM 5, NI PINI MATATAAAAA NA NI MWEUPEEE KAMA YULE tunda WA @YOUNG_DEE, HUYU MTOTO KAANZA KUNIZOEA GHAFLA BIN VUUUUH!!! JUZI...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mie salimini waungwana sijui nyie? Kulikuwa na UFUDU mmoja, ila ulikalaza alikuwa anajitakiaga mwenyewe coz hakuwa ameweka jitihada kwenye masomo yake, siku moja akiwa katika chumba cha mtihani...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Kwa watu wa dar ,mvua ikinyesha mchana wengi tunasema hali ya hewa inaruhusu kwa guest houses na logde kujaa ,(kwichikwichi) Ila kwa mikoani mvua ni kwaajili ya mashamba mimi napenda mvua dar...
0 Reactions
1 Replies
527 Views
Footballer-- 1week- $300,000 Graduate -- 100yrs-- $300,000 Teacher----- 500yrs--$300,000 Drug dealer-- 2days- $300,000 Politician-- 24hrs--$300,000 Armed robber- 10mins--$300,000. Choose Your...
2 Reactions
4 Replies
732 Views
I laughed after reading this, think I should share the humour. A young husband wrote this to a Systems Analyst - (Marriage Software Div); Dear Systems Analyst, I am desperate for some help! I...
3 Reactions
3 Replies
970 Views
Ukiona mtu rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako au mtu yeyote yule ambae hakujui au ambae amekuona mara chache sana, halafu anakuambia umepinda au hauna akili basi jua, (1) Huyo mtu yeye mwenyewe...
0 Reactions
3 Replies
795 Views
#Borrowed Jana nilipanda daladala, basi nikakaa kwenye siti nimejiachia kuchat. Kuna jamaa akawa katoa mimacho anasoma message zangu bila aibu. Yaani waziwazi anafuatilia ninavyo-chat. Nikaona...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukienda sokoni kununua nyanya ukapata chache zilizo oza, haukimbilii kuropoka kwamba nyanya zote za siku hizi ni mbaya. Lakini ukiumizwa na mwanaume mmoja tu, tena uliejichagulia mwenyewe, unatoa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hakika hakuna kitu kizuri cha kwanza kama mwanadamu ni muhimu [badala ya kula] kama kucheka, hakuna asiyependa kucheka,hebu tuambiane kitu cha aina yeyote ambacho ukikisikia always kinakufanya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Huu ni mpambano wa kidiplomasia Kucheka inaruhusiwa, kutania shuruti uwe na qualifications. Kétiila mukúmbo na Tundu Lêsů ni mtu na mtani wake. Ni watani ndugu hawa. Hapo zamani za kale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona kwenye gazeti tangazo kutoka NIDA, linalotaka wageni wakaazi halali kwenda kusajiliwa. Sina uhakika sana na nia ya usajili huu, lakini kuna jambo moja lipo wazi. NIDA wanataka kukusanya...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
```Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo... Siyo unadate binti anajua mpaka Lukaku alifunga mabao mangapi msimu uliopita??... Demu unakaa naye anamjua Boro Yanki, Van Dame, Bill Branks...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo nilipokuwa naenda mjini nilikuwa kwenye toyo sasa kufika karibu na hapo kuna mawili pembeni kuna mdada alikuwa anapita mzuri wezere kila kitu mweupe kama nini gugu yaani kama msomali sasa wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aiseeee kwa hali hii jamani hii nchi ....sio kwa ugumu huu wa maisha......jamani hii ni simu ya mwalimu tena wa sayansi
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Najiuliza sana kuhusu majina yenu memberz wa jf,yaani sijui yana asili ya wapi.Majina Ya ajabu ajabu ahahahahaha au mna kesi polisi mnaogopwa kukamatwa??
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk... Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
UKO SINGLE NA SIMU YAKO NOKIA YA TOCHI NA BADO UMEWEKA PASSWORD NA PIN CODE...UNAFICHA NINI?? GEMU LA NYOKA AU??[emoji23][emoji23] ACHA UJINGA
2 Reactions
1 Replies
1K Views
IMENIUMA SANA Jana jaman nilialikwa harusini mambo ya minuso na madikodiko, nimefika getini wahudumu wakanipokea na kunielekeza maandishi nikaona pameandikwa kulia ni ndugu wa maharusi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasalimu katika jina la Mungu baba
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Back
Top Bottom