[emoji121]
WAKUU!
MIMI HUWA SIJARIBIWI!
HAPA KITAA KUNA DOGO WA FORM 5,
NI PINI MATATAAAAA NA NI MWEUPEEE KAMA YULE tunda WA @YOUNG_DEE,
HUYU MTOTO KAANZA KUNIZOEA GHAFLA BIN VUUUUH!!!
JUZI...
Mie salimini waungwana sijui nyie?
Kulikuwa na UFUDU mmoja, ila ulikalaza alikuwa anajitakiaga mwenyewe coz hakuwa ameweka jitihada kwenye masomo yake, siku moja akiwa katika chumba cha mtihani...
Kwa watu wa dar ,mvua ikinyesha mchana wengi tunasema hali ya hewa inaruhusu kwa guest houses na logde kujaa ,(kwichikwichi)
Ila kwa mikoani mvua ni kwaajili ya mashamba
mimi napenda mvua dar...
I laughed after reading this, think I should share the humour.
A young husband wrote this to a Systems Analyst -
(Marriage Software Div);
Dear Systems Analyst,
I am desperate for some help! I...
Ukiona mtu rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako au mtu yeyote yule ambae hakujui au ambae amekuona mara chache sana, halafu anakuambia umepinda au hauna akili basi jua,
(1) Huyo mtu yeye mwenyewe...
#Borrowed
Jana nilipanda daladala, basi nikakaa kwenye siti nimejiachia kuchat. Kuna jamaa akawa katoa mimacho anasoma message zangu bila aibu. Yaani waziwazi anafuatilia ninavyo-chat.
Nikaona...
Ukienda sokoni kununua nyanya ukapata chache
zilizo oza, haukimbilii kuropoka kwamba nyanya
zote za siku hizi ni mbaya. Lakini ukiumizwa na
mwanaume mmoja tu, tena uliejichagulia
mwenyewe, unatoa...
Hakika hakuna kitu kizuri cha kwanza kama mwanadamu ni muhimu [badala ya kula] kama kucheka, hakuna asiyependa kucheka,hebu tuambiane kitu cha aina yeyote ambacho ukikisikia always kinakufanya...
Huu ni mpambano wa kidiplomasia
Kucheka inaruhusiwa, kutania shuruti uwe na qualifications.
Kétiila mukúmbo na Tundu Lêsů ni mtu na mtani wake. Ni watani ndugu hawa.
Hapo zamani za kale...
Nimeona kwenye gazeti tangazo kutoka NIDA, linalotaka wageni wakaazi halali kwenda kusajiliwa. Sina uhakika sana na nia ya usajili huu, lakini kuna jambo moja lipo wazi. NIDA wanataka kukusanya...
Leo nilipokuwa naenda mjini nilikuwa kwenye toyo sasa kufika karibu na hapo kuna mawili pembeni kuna mdada alikuwa anapita mzuri wezere kila kitu mweupe kama nini gugu yaani kama msomali sasa wa...
Najiuliza sana kuhusu majina yenu memberz wa jf,yaani sijui yana asili ya wapi.Majina Ya ajabu ajabu ahahahahaha au mna kesi polisi mnaogopwa kukamatwa??
IMENIUMA SANA
Jana jaman nilialikwa harusini mambo ya minuso na madikodiko,
nimefika getini wahudumu wakanipokea na kunielekeza maandishi nikaona pameandikwa kulia ni ndugu wa maharusi...