Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani.
Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya...
Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo...
Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke...
Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani...
Meery Christmas wakuu
Natumaini mu wazima siku ya leo pia pole kwa wale wanaoumwa, walemavu na kikubwa pole kwa makapuku kama mimi ambao sikukuu ya leo tutakula ugali, dagaa mchele na soda baridi...
Nakualika kama mtu wa karibu.
Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?
Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.
SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO...
Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa.
Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema...
Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote."
Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya...
Hakuna apendae kuwa masikini katika dunia ya Leo na KILA mmoja anayatamani maisha yake yawe mazuri angalau apate robo tatu au nusu ya kile anacho kihitaji.
katika dunia ya leo,pesa ipo KILA mahali...
Polisi anataka kumuuliza maswali kadhaa ili kujua uwezo wake.
Polisi: Ni nini 2+2?
Ahmad: Ummm... 4
Polisi: Nitajie square root ya 100?
Ahmad: Ni 10
Polisi: Sawa umepatia yote, sasa, nani...
Hivi kuna mavazi maalum ya kuwatambua watu waliokoka hasa wanaume?
Mashati kama ya vitenge au ya rangi moja kama pink, blue etc. Maana naposkia fulani kaokoka mara nyingi nikimcheki kapiga shati...
Skendo nyingi huwa ni za kutengenezwa na watu ili kukuchafua na kuonekana kwenye jamii kuwa wewe ni mtu wa ovyo sana
Skendo ambayo staisahau kwenye maisha yangu nilipozushiwa kuwa nina mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.