JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Nilikutana nae facebook sijawahi kumuona hata kwa sura ila tunawasilana watsap na tunapigiana simu wote tupo dar ila kila nikimuomba tuonane ananichenga tatizo kila mara ananiomba pesa tena ana...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwerefu na mjinga wali kwenda katika usahili, walipo fika kabla hawaja ingia waka kubaliana aanze mwerefu, kisha akitoka ampe mjinga majibu ili wote wapate kazi. Basi mwerefu akaingia namaswali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
O
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Kenyan women have a funny way of asking if you are in a relationship...."Unataka Manzi Yako Animwagie maji moto"...Tumewajua sana..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiisha kaa chini na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Tokea asubuhi napiga tu Simu kwa Washikaji zangu waliopo huko barabarani ili wanipe mpango mzima wa Idadi ya Matrafiki katika njia ambazo nataka nipite nipeleke MKANGAFU wangu ( gari mbovu )...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inakuwaje mtu anatembelea gari ina Chassis Number kwa muda wa miaka miwili?
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Hello, Huyu mdada naona hakuvaa pampasi hlf yalimshinda, hiyo yote ni effects za kugawa ndogo aka inye, wadada kuweni makini na mabazazi wa karne hii Ni hayo tu.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna kitu nakiona kinaendelea ambacho kisipoangaliwa kinaweza kuleta madhara makubwa. ... Kumekuwa na kikundi cha watu wanaoitwa maspecialist wa magonjwa mbalimbali . ..hiki kikundi cha watu...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
_mwalimu wa shule xxx aliingia darasani na kuanza kuwaulza maswali wanafunzi _ebu niambieni huwa mkitoka shule mnakwenda wapi.. mwanafunzi wa 1:huwa nakwenda kwa micaely michael kuvuta bangi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umeshawahi kuandika uzi kuhusu mtu hapa jf halafu huyo mtu akausoma na kukupigia na kukueleza kwanini umemuandika kwenye jf. Au umeshawahi kuusoma uzi hapa jf maelezo yake ni kama mambo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari JF? Kuna uzi mmoja humu nimeusaka leo siuoni ili nitoe mrejesho, kifupi ulikuwa na namba nyingiiii za machangudoa wa jijini na nzuri zaidi members waliweka na wajihi wa Changu husika...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla. Yuko wapi mwenzetu huyu? Ni mtu ambaye...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
sijui tuseme ni majob less au ni umbea, au ni malezi, au ni ulimbukeni.. unakuta mwanaume na akili zake ananua gazet la udaku afu anaanza kufuatilia habari ya diamond na zari au wema na idrisa au...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimeanza kufuatilia utamu huu tangu na tangu lakini hadi leo bilabila, kisngizio ni kwamba mie mtoto nitafute waoto wenzangu! Hawa wamama wanasahau kwamba kile sio kiatu kwamba wakitutunuku labda...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Poleni na majuku ya kulijenga taifa wana jf kama sio watanzania. Nia ya kuleta huu uzi ni kutaka kujua au kuangalia ni kwa jinsi gani computer au pc au...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
mara nyingi wanaume wenzangu wemekua wakileta thread wakilalamika humu mara oooh! napigwa sana mizinga! mara tumejuana jana tu leo anataka nimtumie laki mbili, mara ooh! jana tu nimempa 50, leo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kajitafiti kangu kafupi nimegundua kuwa hakuna kabila inapenda kula mzigo kama wanyiramba awe wa kike awe wa kiume kazi ni ile ile halafu kwa kuzaa watoto holela, unakuta kila mtoto ana...
1 Reactions
13 Replies
17K Views
mtoto kamwita baba yake kumtonya sir moja hv na ikawa hv >mtoto : baba >baba : naam mwanangu >mtoto : nimesikia jirani akimwita mama honey na mama anamwita baby mara sweatheart. >baba : tatizo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…