JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao). Kwanini uliamua kujiita A na sio B?! Kwanini a jina feki na sio jina harisi...
11 Reactions
619 Replies
33K Views
Inasemekana Mwanadada Wema Abraham Sepetu ndiye Mkuu wa wilaya mpya ya Kigamboni. Kada huyo kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi anatajwa kuwa Shughuli za Kuapishwa ziko mbioni kwani Taratibu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Habarini mabestito wangu wa ukweli Niliwamisijeeeeeeeeeeeeeeeeee? nimewatamani ile mbaya kwani miezi sasa imepita sijawatia machoni mwenzetu kwa ubize wa vishughuli na ivijimambo vya kona ya...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
sifa ya 1: aweze kulima heka 4 mwenyewe sifa ya 2: awe ananyua nondo angalau mara mbili kwa siku sifa ya 3: awe serious asicheke cheke sifa ya 4: aweze kutumia 500 kwa siku mbl sifa ya 5: awe na...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Sabakher Wadau; Kuna Kitu Ambacho Nakifikiria Daily! Yaan Namuomba Sana Mungu Nikija Kufa Nisije Kuzinduka Mochwari Usiku! Kwa Sababu Najua Nitachanganyikiwa Sana!! NAOMBA NIKIFA NIFE KWEL.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanabodi nimekuja hapa jioni hii kwa maana ya kutaka kujuzana hali ilivyo hivi sasa baada ya mvua kunyesha na vipi kuhusu mjini wa pembeni wa Matema Beach? Vp kwa sasa kuna fikika kwenda huko...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
  • Closed
Tumepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online. Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati mwl Nyerere akihutubia juu ya Muungano alisema kinowachafanya watu kusema wao watanganyika sisi wazanzibari ni ubaguzi tu kuwabagua watanganyika lakini nje ya muungano hakuna...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
1. Lugumi Enterprises 2. Infosys IPS T Ltd 3. Biometrica 4. Jeshi la Polisi Tanzania 5. Mhe. Charles Kitwanga 6. Mhe. Ridhiwani Kikwete 7. Afande Said Mwema 8. Bwana Lugumi 9. TAKUKURU...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa JF, Mchana wengi wenu mnakuwaga very active online ila usiku mnakuwa doro. Ni kwamba ikifika usiku mnakosa access ya internet au mnakuwa bize na shughuli zingine za kjamii? Kama...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Unatumwa dukani kwa mangi ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1000/= hafu wewe unaamua kupitia sehem unanunua maandazi ya 100 ili ukanunue mafuta ya 900/= Na ukafika wanakouza mafuta wamefunga...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
IPO HIVI: 85% ya watu wote wanaotembeleana siku hizi atakapofika nyumbani/gheto kwako baada ya salamu lazima akuulize una Charger ya Simu hapo nistue simu Ndivyo ilivyo kama huamini chunguza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello Jinsi gani ya kuishi na adui yako Unayeishi naye nyumba moja
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
habari zenu wana chit chat wooooote. MUNGU AWE NANYI. hizi ni salamu kwa kichwa cha kisiasa.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Dada moja bwana alikuwa anajifanya anajua kuchukua waume wa watu. dada si akaingia kwa jamaa mmoja, wakawa wanapika na kupakua dada fulu kujiachia. akawa anatangaza sasa kwa marafiki zake kuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tarehe kama ya leo wazazi wangu walinileta kuanza safari ya ulimwenguni Hadi hapa nilipofikia nina kila sababu ya kumshukuru muumba kwa kusema asante kwa yote aliyonitendea.....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi? Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
2 Reactions
83 Replies
6K Views
Wasee niaje? Ni juzi tu, nlipata wrong Mpesa cash kitu kama ngiri sabini (Kshs 70,000/=) nilitia mbidii nikawithdraw. By the after kitu kama two hours napata nangos mpya kwa tenje, huyo msee...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom