Dah vituko haviishi kwa hawa watu! Mara w amefanya hili mara lile!
Nasikia siku hizi wake zenu wakiacha nazi ndani basi ni majanga. Mnaiba nazi kupita kiasi! Akiacha nazi nzima lazima aje akute...
Inakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui...
MTEJA--Samaki bei gani?
MUUZA--150!
MTEJA--Mwisho?
MUUZA--Mkiani!
MTEJA--Mbona samki mwenyewe ka legea sana??.
MUUZA--Muulize lamda alikua shoga baharini.
MTEJA --Mbona una majibu ya shombo...
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga /kuweka pesa ya nauli mwezi Februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya...
1-huna uhakika na kula na una elfu moja pekee ulionayo unaamua kunywa viroba. 2-huna kitanda na unaamua kuoa hayo pia ni maamuzi magumu. 3-huna uwezo...
Bana eeeh,
Mi nna katabia kakuwaangalia sana wanawake sehemu za nyuma nikipishana nao...Haswa wale wanaovaa vibaya... Si peke yangu ni wanaume almost wote...Its a natural thing!!
Nakumbuka when...
Hi
JF
Baada ya mtifuano mkali kuendelea kati ya wadaslam
Na wa mikoani na kuweka vita baridi sababu hakuna aliyeibuka mshindi.
Hatimaye wa mikoani wamefikia uamuzi wa kutopeleka viazi ulaya na...
TUCHEKE
Bi harusi baada ya kuolewa alihamia kwa mumewe anayeishi na wazazi wake. Akakaribishwa na lecture kutoka kwa Mama mkwe wake, sheria na katiba za nyumbani.
Mama mkwe: Mimi ndio Waziri...
Wakuu kwanza kabisa kama mnavyojua kila kitu kina faida na hasira, mbali na shida zote tunazopata wakazi wa dar kipindi cha mvua yaani foleni, mitaan maji yanajaa ila kuna faida zake
Mvua ya juzi...
Breaking news Babu wa loliondo amefariki dunia baada ya kupigwa risasi tatu na ndugu wa mgonjwa mmoja! sababu za kumpiga risasis hasijafahamika lakini jamaa anashikiliwa na polisi. Tetesi...
Kipindi cha nyuma nlikuwa sipend kabisa kuchepuka. Ilikuwa mpaka inaleta shida kwenye ndoa. Sasa mvua imenisababishia niwe nachepuka maana usipochepuka home unaweza jikuta unaingia saa 5 usiku...
Hivi karibuni Mkuu mmoja aitwaye Pasco alileta thread kuhusu kusumbuliwa Na Makufuli..
Katika ufafanuzi wake kwenye posti zilizoendelea kujadili thread (Uzi) huo, Pasco alifafanua kuwa kufuli ni...
Sikuwahi kudhani kama naweza potea kizembezembe hivi kama leo.
Nilitokea mitaa ya Tazara na shida ilikua nifike Sokoni Buguruni ili kununua mazagazaga ya nyumbani, kwasababu ya foleni nikaamua...
Wadau habari zenu...kwenye thread hii natarajia kupokea picha za daraja la kigamboni kwa mtindo wa selfie!
Najiandaa kuelekea bongo na kupjipitisha darajani Kigamboni na kupiga picha 'selfie' ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.