JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Angalia video ya bibi anamwaga mauno balaa Bofya hapa Bibi ananimwaga mauno balaa... - Vyro Newz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapo mtaa wa pili mama mmoja ametafakari hatua aliyoichukua JPM kumtumbua mkurugenzi mmoja aliyefanya kazi tangu April 2013. Mama huyo ameamua kuhamishia hatua kama hiyo kwa mfanyakazi wake wa...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani ndugu zetu wa dawasco jiji letu pendwa la Dar limezidiwa na baridi hivyo nina ombi maalumu, tunaomba kuanzia mida ya saa kumi alfajiri mpaka saa nne asbuhi mabomba yawe yanatoa maji moto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KAMA UNABISHA JARIBU! 1: Huwezi kuweka sabuni kwenye macho. 2: Huwezi kuhesabu nywele za kichwani. 3: Huwezi kupumulia PUA wakati ULIMI uko nje. 4: Najua umejaribu hilo la 3. 5: Umeonekana km...
10 Reactions
14 Replies
3K Views
BABA: nilishakukataza kushinda na RAYMOND tatizo usikii MTOTO: kwa kweli mi nashinda nae kwa ajili ya kunisaidia kwenye masomo BABA: hv wewe unaweza kushinda na PIPI mdomon usiile? >...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa! Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Jamani hawa madirector wetu inabidi waende skuli kidogo haiwezekani mtu anatupiwa bomu linalipuka halaf anajikung'uta vumbi tuu https://www.instagram.com/p/BEl1Ne-Fs9J/
0 Reactions
6 Replies
2K Views
aaaaaaaaaaaahahahaaaaaha, eti wanaume wa dar wanashindia kunywa supu ya pweza tu wakati wanaume wa mwanza wanachapa sato na sangara tu, wakuu mnadhani kuna tatizo gani hapa kwa mfano?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize... Kaka, mbona u mnyonge hivyo?" Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya...
8 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamaa ndo mara yake ya kwanza kuvutishwa bangi! Ilimpokolea wenzake wakamwambia nyanyuka twende jamaa kuanza kutembea anapiga kelele mikono yake inaburuza chini akitembea mmoja akamwambia basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady amejaaliwa kupata Baby Boy mwenye afya njema. Naomba tumpongeze na kumpa zawadi humu humu MMU. Taarifa hizi...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Ishawahi kukutokea umepumzika sebuleni mnakula chakula cha usiku pamoja na wife na watoto mkawa mnacheki t.v show amazing alaf ghafla katkat ya show vitu flan nasty vikaanza kama sex scenes na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi. Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka. Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk...
27 Reactions
307 Replies
25K Views
Hebu tuyaorodheshe hapa! Majina ya kichaga Goodluck Moshi Elibariki Minja Godliving Kimario
0 Reactions
73 Replies
22K Views
Habari wanajf! Bilashaka mko poa na mnaendelea vyema na ujenzi wataifa. Nimerejea tena jukwaani kuleta yaliyojiri baada ya fumanizi. Bila Shaka mnakumbuka siku chache zilizopita nilitumbukiza...
17 Reactions
105 Replies
17K Views
Yesu. Halo Yohana ile pesa itume bac kwa M.pesa naona leo mtandao uko vizuri.. Yesu..Halo petro hivi mpaka saivi hujafika kanisani unafanyeje huko. Yesu. Baada ya ibada kama kutakuwa na mwenye...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
[emoji116] Nataka kuwasaidia tu........ 2 all men, When you walk into a club.........The first thing!! MARK THE UGLIEST WAITRESS and mark her very well. i repeat,MARK THE UGLIEST WAITRESS.. IF...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Ebwana wanaJF mzuka! Wala sidanganyi udhaifu wangu tu hupo hapa. Kila nikipishana nao mapigo ya moyo wangu dhaif yanaenda mbio kwa kas ya ajab. Siku nikiwa tajir Amatus cha mtoto. Eti namilik...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Je wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa...
4 Reactions
61 Replies
9K Views
jamaa m1 alikuwa zake kwenye daladala mara cmu ikaita kuchek mke wake kutokana na kelele akaamua kuweka loudspeaker JAMAA: EEH beib nakuskia MKE : nauliza umeweka wap soks zako maana nyumba nzima...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom