JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Of koz asilimia kubwa ya watanzania hawajawahi kutoka nje ya nchi hii....Tukiachilia mbali wale wa mikoani ambao hata kukanyaga mjini (dar) hawajawahi kwa hasira wakaamua kutusema wanaume wa...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Nimetafiti Individually then nikagundua kuwa kwa mazingira ya maisha yetu kimjinimjini,kuna tofauti zifuatazo :- 1) Flat screen ladies, wao ndio wanaendesha migari ya maana na...
10 Reactions
91 Replies
8K Views
Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie KICHAA:pouwaaaaaaa NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna mtu,kwanini...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
"Kuingia darasani sio kwenda shule" Falsafa hii inathibitika pale yule anayejiita msomi anaposhindwa kujitambua katika jamii wakati jamii inamtambua kama msomi. Napenda kutoa pongezi kwa wana JF...
15 Reactions
58 Replies
3K Views
Kuna mmachinga mmoja likuwa akimnyima raha mchina mmoja maeneo ya Kariakoo,jamaa kila akifika kwenye hotel hiyo ya mchina huwa anamuongelea ovyo tu mvimba macho huyo. Mmachinga: nyie wachina wote...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
[emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahada ya Udaktari [emoji117] Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahada ya makenika [emoji117] Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajiri...
5 Reactions
4 Replies
706 Views
Najua am not growing any younger, and you are not too, am praying, plz God help me with my health, my family and friends, orphans and widows, bless others like how you blessed me, bless me like...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna mzee mmoja alitembea na mwanawe na hatimaye akampa mimba kutokana na mila na destur alikamatwa na kupelekwa mahakmani aliulizwa kwa nn alitenda mambo. Ya ajabu na aibu Jibu. Samahani bwna...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Mwalimu: Nitajieni nchi iliyokaribu zaidi na USA Mwanafunzi: Nchi iliyo karibu zaidi na USA itakuwa ni USB HOPE OF JF CC Senator JR
6 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie KICHAA:pouwaaaaaaa NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna mtu,kwanini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nini mimi sipendi jua b'ze, huwa nalichukia sana jua pindi linapowaka hii ina maana linanikosesha biashara yangu ya MIAVULI kuuza, kwani week hii biashara ilikuwa mzuri kwa siku nauza miavuli...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani uoga mwngne tena... Familia moja ilivamiwa na majambaz. JAMBAZ: Ww mama unaitwa nani? MAMA: Mm naitwa Asha JAMBAZ: Unabahati jina lako km la marehem mama yangu hivyo sikuuwi, na ww baba...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
Jirani zetu wanasifika sana kwa haka ka tabia ka kutumia rasilimali wanyama kwa jinsi ya tofauti na ilivyo kawaida. Ila nina muda sana sijasikia skendo kama hizi kutoka kwao.! Ninajiuliza...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Ilikuwa siku ya jumamosi nimekaa kijiweni napiga stori na wasela, mara akatokea demu wangu wa zamani. Nilimfuata na kuongea nae mamwili matatu huku tukicheka kwa furaha ya kuonana tena baada ya...
6 Reactions
65 Replies
10K Views
Juzi jioni nmetoka zangu town nikapita mitaa ya kona bar mida ya saa tatu hivi. Muda nao ulikuwa umeenda kiasi ila nikawaza kila siku nasikia changu changu leo ngoja nijipatie hata mmoja nionje...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Nimeamini hawa viumbe wanapenda pesa. Kuna mwanamke mmoja anafanya kazi benki hapa dar es salaam kama teller tunatoka mtaa mmoja, ni mzuri sana. Ana mkia na kiuno cha nyigu, sio bonge na mfupi...
5 Reactions
100 Replies
10K Views
Mambo! Nawaandikia kuwaaga wana JF wenzangu. Nilikuwa likizo ya mwezi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni...
2 Reactions
103 Replies
9K Views
Za wakati tena wanajamvi! Leo najisikia unyonge moyoni mwangu sijisikii kuchangamka kama nilivyozoeleka. Najisikia kulia nikikumbuka madhambi yangu hasa ya uzinzi. najisikia vibaya..bilashaka...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Wakuu kuna hili suala la wanaume wa dar naona limeshika kasi sana, kwanza ifahamike kuwa dar ni kubwa na si vizuri kutuhukumu wanaume wote wa jiji hili maarufu Afrika mashariki na kati. Lengo la...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Anagalia Video ya kibaka akichapwa baada ya kuiba kuku. Bofya hapa Kibaka Achapwa baada Ya kukamatwa anaiba kuku! - Vyro Newz
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Back
Top Bottom