Raisi Wa bongo marekani Na Russia walikwama kwenye ndege iliokua Na wao watatu Na marubani wawili. Ila bahati mbaya parachute zilikua mbili tuu... Ikabdibwapige kura maraisi gani wawili wapone...
Kutokana na Uhaba mkubwa wa Sukari iliyoadimika kwa Makusudi Watanzania sasa wamepata njia mbadala ya kunywa chai kwa kutumia aina nyingine ya Kichocheo kitamu.
Hali hii imepelekea sasa...
Mkuu wa wilaya ya Iringa dc kasesela kapata media airtime ninoma..!
Jamaa kama kawaida yake anapenda maujiko sana! Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana.
Mara nyingi mtu akiwa ameishiwa pesa hata ya kununulia chakula na inapotokea akaomba msaada kwa rafiki zake au ndugu huambulia kununulia pombe za hela nyingi lakini kumpa hela kidogo ya kununulia...
Habari,
leo natoa ya moyoniNampendma sana Jacke but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina za kunifikisha kwao
Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini ila kwa Jackie nitazama...
Hivi mfano mtu anakupa namba yake ya simu lakini ukimtumia meseji ajibu wala simu ukimpigia apokei, acheni basi tabia hizo mnauzi sana,pia haihusu mapenzi au mahusiano wala sio ya kutongozana na...
Deo alipimwa Malaria ikawa kidole damu haitoki vizuri.....lkabidi nesi amminye kidole taratibu ili damu itoke.....Katika kuminywaminywa Deo si akaona raha!! Akamwambia nesi "MKOJO PIA HAUTOKI"...
Mambo vp wadau.
Mama mmoja wa kabila fulani kanda ya kaskazini alienda hospitali kumpima mwanae mwenye miaka 10 manake alikuwa anasumbuliwa na tumbo, alipofika akaambiwa akalete choo cha mwanae...
1. KUNYA-Kiukweli unapokuwa unakunya unasahau shida zote za Dunia hii.
2.KULALA-Hakuna atakayebisha wakati usingizi unakuchukua ni utamu na raha kiasi gani unaipata na kusahau shida zote za...
wakuu ni kwa nini daladala na mabasi ndio yana hawa kondakta? lakini vyombo vya usafiri kama ndege, boti,treni,mitumbwi hazina kondakta wakati navyo usafirisha abiria na kupitia vituo mbalimbali...
Siku ya mama mama mama unyanyasaji wa akina mama mama
Sisi wenyewe akina baba dunia ituone itupende itulinde na mikono ya dhalimu ya akina mama wanaotaka usawa wakati hata umbo lao haliko sawa...
Hapa ndipo pana kazi... Marufuku ya kuingiza sabuni kutoka nje ya nchi, itafanya watu wapate sababu za kuto kuoga na wengine kutofua nguo hasa za 'ndani ya nchi'.
Sipati picha mtafutano wake...
A- Leseni ya kuendesha pikipiki lenye au lisilo na sidecar na ambao uwezo unazidi 125cc au 230kg.
A1- Leseni ya kuendesha pikipiki lisilo na sidecar na ambao uwezo ni chini ya 125cc au 230kg...
LEO TU HUU MCHANA
Shamila KANIPIGIA,
HILI SWALI KANIULIZA
NA JIBU AKASUBIRIA,
" Seneta WA Mtwiz Huijui Siku ya
akina Mama??
Mbona Hufanyi Jitihada Kumpost #Mama_Nawema??"
NIKAMJIBU Shamila...
A programmer is going to the grocery store and his wife tells him, "Buy a gallon of milk, and if there are eggs, buy a dozen." So the programmer goes, buys everything, and drives back to his...
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Serikali: kwa nini umeficha sukari?
Mfanyabiashara: mweshimiwa nioneshe ambaye ameenda kuweka sukari yake uwanjani pasipo kujal kuwa inaweza ibwa,haribika au kunyeshewa na mvua.
Serikali...
Wakuu salam zenu..
Mmekuwa waoga sana kwa kuongelea mlima wa kitonga ni hatari zaidi kutokana na kuwa na kona nyingi juzi nilipopita pale kweli nimeamini watu wanaishi mikoa hii ya mbeya, iringa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.