JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Masela mpo njema ? Mmeacha kucheza pool tabla asubuhi? Mwenzenu nimepandikiza mipapai ukumbini. naogopa kuletewa difenda la dark blue mlagoni kwetu...Chezea Anko Magu !!! Huu ni muendelezo wa fix...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Samaki Chupi
0 Reactions
75 Replies
15K Views
Nikitongoza wadada wazuri na warembo kwa nguvu zangu zote hawanitaki lakini nina utitiri kama si nyota ya kupendwa na hata kutokewa (kupendwa) na wanawake wenye sura mbaya? Nimemkosea nini labda...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kuna aina ya watu ambao wanaonaga wao wanajua kila kitu, wao ndo wanaowaza na kufanya vitu sahihi, yaani hawakoseagi! Mfano siku ya leo ni Siku ya Mama duniani, unakuta mtu anatoka mapovu...
2 Reactions
3 Replies
773 Views
Kwel kama mwanaume inatakiwa ikifika wakat uwe na maamuz magumu na moyo wa chuma.... Umeachwa na mpnz unampenda bado ktk harakati za kuyajenga anakuchana ati unanipigia pigia simu kwani unanidai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja. Leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wakati mimi nilikuwa...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Tukikuwa wote Bukoba mjini miaka ya 90 Mwaka 2000 tulikutana tena jiji Mwanza tukaendeleza mahusiano ... Nilisafiri nje ya nchi na sasa nimerudi - nikaenda mtaani kwako ulikokuwa ukiishi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa ewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya T usker...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna jamaa kichakani walikuwa wanavuta bangi wakavuuta mpaka kiberiti kikaisha ikabidi wamtume mmoja wao akatafute kiberiti jamaa akazunguka kile kichaka akarudi pale pale kwa washkaji akawauliza...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani mimi ni binadamu na nimeumbwa na moyo wa nyama. Napenda kuomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo. Namtafuta amu popote alipo. Najua ni mke wa mtu kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake lakini...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikari ikimaliza kupambana na watumishi hewa wageukie na hili la wachumba hewa,watu wanakuwa na uchumba wa zaidi ya miaka mitatu hata nyumbani hawapelekani
1 Reactions
5 Replies
824 Views
Naomba kuuliza hivi Condoms nazo zingeadimika sokoni umma / wananchi wangelalamika kama wanavyolalamika kukosekana au kuwa na uhaba mkubwa wa Sukari? Kati ya Sukari na Condoms ipi ni hitaji...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Wasee niaje? Mimi ni ule msee huwanga sikosi shida kwa area. Si Mnajua maisha zangu na mastory zake huwanga tu ni sad!! Wacha niwashoo vile ni mabalaa tu zinanisonhesha kaa kijeshi, at least...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Kwa mfano,umeona upepo umekula mkate wako mwenyewe mara ukahisi panga pembeni ya mchanga kuna upawa wa kukwangulia lami mle kwenye buldozer halafu maji yanakufagilia ule mfagio...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Asala Aleikum, niko fiti lakini siku ya leo inanikalia tu ngumu ata hivyo siwezi anza kuteta juu ni wengi wamejaribu lakini sumu. sioni haja ya kuingia kwa bafu ju ni jana tu nilijimwagia ka...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Bado siamin kabisa had sasa napoandika hii posti jina lang alijaorodheshwa kwenye Orodha ya matajir waliotunza hela Panama. Nilishikwa na waswas na kukosa aman toka jana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
- E - P - Si - Ti - I - Efu - Chi - Echi - Ayi - Chey - Key - Elo - Emu - Eni - O - B - Kiu - Ara - Esi - D - U - Fi - Tapiliu - Exi - Wai - Seti
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom