Kuna habari nazisoma hapa hata siamini. Eti mwisho wa mwezi huu ndo mwisho wa dunia.
Daa roho inaniuma sana maana ndo kwanza nimempata laaziz wangu wa moyo. Sasa hata sijamshughulikia vizuri...
Kuna tabia ambayo wadada wengi wamekuwa nayo mda mrefu yaani mwanaume ukiwa huna hela halafu una umri mdogo unaonekana dogo na uwezi kuruka sarakasi zetu zile, ila ukiwa na hela bana unaonekana...
Nimeona wengi wakimpinga sana mbunge wa ulanga kuhusu pendekezo lake la kufuta historia (kumbukumbu) na badala yake tuweke International figure (Diamond) kama ni kutambua kazi na jitihada...
On this special day, i wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many...
Read this:
If you are a man remember who you are!
If you are a woman [emoji184] Respect every male in your life. U will never know what he has sacrificed 4U.
[emoji779]A man is the most...
20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo...
Hbr za Leo wadau!
Nakia kichefuchefu, kizunguzungu, hasira, na udhaifu wa mwili.
Kwa dalili hizo ninaweza kuwa nimeshika mimba?
Simpendi mume wangu hata akinipigia simu nasikia hasira sipokei...
Dear ladyfurahia,
Each year your birthday reminds me that I really want to say am very glad that I know you. A friend like you is a gift from God and hard to find.
I hope you enjoy your birthday...
si maneno yangu bali ni ya kocha mmoja mzalendo alipokuwa akihojiwa na kituo fulani cha redio akitakiwa aeleze historia yake ya ukocha.ndipo akasema kuwa kazi hiyo ameianza siku nyingi,na miongoni...
Mwanaume alisikika akilalama "haiwezekani akae kimya kwa miezi 2, anatumia nn? Au kuna mtu mwingine ana mhudumia? Siku za nyuma ilikuwa haiishi wiki".
Haya yameibuka huku kwetu uswazi. Jamani...
Wadau tukumbushane AKA za mashuleni tulikosomea.
Mimi naanza na Minaki na Umbwe:
Minaki aka Dabanga
Tumbili aka Vinyanyiko
Mkuu wa Shule aliyekuwepo wakati wetu aka Faza
Mkuu wa Shule Msaidizi...
Nimetukanwa Kinyambe chako weee.
Mimi nilikuwa najua Kinyambe ni jina la mtu, kumbe ni tusi jamani.......
Daslamu matusi mengi jamani....
Wageni mwakaribishwa msijifunze mambo ya mji huu.
Ushoga...
Sina sehemu yakutosha yakuelezea uzuri wako mpenzi wangu, tabia yako nzuri, kujali kwako, upole wako na ubunifu wako unanifanya nikuone bora kila siku...
Ninayo furaha kubwa kuwa nawe!! utii...
Habari wakuu
Naombeni ushauri maana nataka kubadili jina, badala ya kuitwa MKWEPA KODI nitumie jina la MFICHA SUKARI, sababu kuu ya kuamua kubadili jina ni kutokana na mgogoro wa kifamilia ambao...
Ni rough cut ya wimbo ambao nilikuwa nao mawazoni kwa karibu miaka mitatu sasa. So I decided to pick up my guitar na kurelax kidogo kwa kucheza muziki huu.. hope waimbaji wazuri wanaweza kuufanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.