Habari wanajamii,
Nime miss sana hili jukwa tangia nifumaniwe na mke wangu humu nimeishia kuchungulia tu na kusepa,
Japo nimejitahidi kubadili jina nimeshindwa.
Leo nimeona niweeleze juu ya...
Jamani nyie haya mambo ya kijamii ni magumu acha.
Hapa jirani na kwangu kuna dada mmoja anapika vitafunwa na chapati zake ni tamuuu, yani nikizila wala hata sijilazimishi na ninazipiga mpaka...
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.
ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.
kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ...
Wakuu habari ya wikendi,
Tuache utani kwa mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni inaongoza kuwa na wanawake wazuri na classic kuliko wilaya ya ilala na Temeke.
Kwa bahati nzuri nimebahatika...
Wakuu heshima zenu,
Kama title inavyosema hapo juu, namtafuta Isabella mwanadada, ambaye ni mwanachama wa JF popote alipo. Tafadhali ukipata ujumbe huu naomba unipm
Wakuu habari za Sunday..
Leo baada ya kunywa juice yangu ya ukwaju nikipoza hang over ya jana. Ghafla inaingia text ya rafik angu, Mkuu unamkojoza nani weekend hii...
Nimeangua kicheko mpaka...
habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Waziri Lameck almaarufu kwa jina la Kijana Mdogo.
amejikuta akizuaa balaa baada ya kuingia kanisani na kukimbilia...
Sisi madereva tax bwana tunacheza dili mbalimbali nyingi sana zote za hatari ila zingine huwa za hatari zaidi.Nakumba ilikuwa majira ya saa mbili usiku nikiwa nimepaki zangu nasubiri mteja mara...
Hivi ile tabia tuliyokuwa tukifanya miaka ya 90 na. Unang'oa jino halafu unalitupa juu ya bati huku ukisema "ewe mwewe chukua jino langu ili liote lingine"
Siku hizi sijui kama ipo tena. Sijaiona...
Wakuu habari ya muda huu,
Kusema kweli nieape tu pongezi wote wenye six packs au flat belly kwa jitihada zao.Usione mtu ana six packs ukamchukulia poa ukadhani zinaokotwa ti barabarani au...
Juzi kati nilichepuka na bidada mmoja mwenye mkia wa maana hipsi safi ila sijaona utamu niliokuwa naudhania anao nikapiga mizigo yangu miwili kwa kutumia rough.... Leo ananiambia ulitumia ile...
Juzi juzi nilikua napitia pitia ajira online nikakutana na hii moja toka website ya Zoom Tanzania. Kampuni inaitwa DELIP ni NGO japo nlipojaribu kuifanyia utafiti sikuweza pata chochote online...
Kumnunulia demu wako simu [emoji338][emoji338][emoji338] halafu
mwanaume mwenzako anamnunulia vocha
[emoji389]
[emoji389] huo ni
MWINGILIANO WA MAJUKUMU.
Kumlipia demu wako ada ya chuo [emoji310]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.