JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamii forum ni zaidi ya Chuo, ama, Tanzania House of Talent (THT). Ni ukweli mtupu kuwa kuna wanaopata maarifa, ujuzi, ushauri, burudani, pundee tuu waingiapo kwa huu mtandao pendwa jf. Huwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu wanaume wa Dar tumeshambuliwa sana humu mjengoni kufikia hatua ya kuambiwa sisi ni waoga, tuna upungufu wa nguvu, legelege na majina mengi mengi tu ambayo watoto wa wakulima wa huko mikoani...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mpo poa masela ? Ziro Matamaa ni mshikaji wetu anayekaa mtaa wa Uchafu, ni mtaa unaopatikana pande za mabondeni. Jamaa ni msela mwenye mbwembwe na mikogo kibao. Huwa anakuja kupiga stori kwenye...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Ndugu zangu nimepata kuona na kusikia kwa watu wengi siku hii eti njia(Kupanda minarani na kutishia kujitupa)ya kudai stahiki zao ni kwa kupitia njia hii ya mkato ili kupata chako mapema. Sasa...
1 Reactions
1 Replies
887 Views
Wakuu kuna binti mmoja hapa jirani na ninapo ishi nilitokea kuwa na mahusiano nae ,kuna siku alikuja ghetto nikamgegeda kwa bahati mbaya sikuvaa kinga(condom)nilikuwa na mzuka sana Baada ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wa humu habari zenu!!! Binafsi nazidi kushangazwa sana na hizi haki hasa kwa akina mama. Licha ya wanaume kuitwa mabuzu kwa miaka mingi sana haijatokea hata mara moja kauli hiyo kupigwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu. Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" [emoji33] Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi. Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani...
11 Reactions
71 Replies
6K Views
Nlisoma na binti flan shule moja yasekondar.nlikuwa namzidi kidato.juzijuzi nimpata whatsap. Tulichat sana.mwisho nlimuuliza kama kaolewa .jibu lilikuwa hapana likifuatiwa na swali lingine "je...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kihistoria mimi ni mtoto pekee kwa mama yangu yani wa kwanza na wa mwisho ( kitinda mimba na kifunga mimba). Mama alifariki nikiwa na umri wa miaka 2 na miezi 7 hivi.Lakini mapema baada ya kuacha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuja haja ya salam, natafuta ile katuni "jamaa kapanda punda,watu wakasema anamuumiza punda,aliposhuka wakasema jamaa bwege anatembea kwa miguu ilhali anapunda......."mwenye nayo tafadhali...
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Nimechukua kikapuchangu chenye rangi .kucha za bandia na vitu vya urembo kama vibanio vya nywele nikatokomea mtaani kwenda kutafuta Wateja Niumbali wa km 1 toka napoishi hadi mtaa niliofikia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nishory ndefu in short Wakuu heshima kwenu, Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Mr and mrs Daudi walishafariki kitambo sana daaaa nasikitika sana,Neema kipenzi ameshaolewa na Musa kawa jambazi sugu.jamani ni kitambo sana enzi zetu zileeeeeee! Matola anakula gizani Hiii ndyo...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wakuu msaada kuna katatizo kamenipata mwanzo wa wiki hii kuanzia jmosi yani najing'ata ng'ata kwenye ulimi kwa siku mpaka Mara tano daah yani mpaka sina raha wakuu najua humu kuna wataalamu...
1 Reactions
1 Replies
687 Views
Hapa ni kukomesha ubishi!
0 Reactions
8 Replies
951 Views
Huenda hii sasa itasaidia kupunguza ile hali
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mama: mwanangu kula tu hizo dagaa zinaongeza sana akili Mtoto; Basi mama Nipikie siku ya MTIHANI kwa wingi
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbuzi ni mnyama ambaye amekuwa akifugwa na binadamu tangu enzi na enzi. Kumekuwa na misemo mingi ya Kiswahili ambayo inayohusisha mbuzi either kuna sababu maalumu au labda imetokea 'coincidence'...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Msiogope wakuu: JPM=JOHN POMBE MAGUFULI MJP=MaJiPu. Siyo mbaya kusmile japo sekunde huku tukisubiria next move ya JPM wakuu.
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom