Please be sincere........ You have just come back from work to see 6 rats. [emoji232][emoji232][emoji232][emoji232][emoji232][emoji232] • The 1st rat[emoji232] was eating your highest academic...
Sheikh alikodi bodaboda, wakat wapo safarini akamwambia dereva
Zima muziki
dini hainiruhusu kuskiliza nymbo za kidunia
Kwa sababu wakati wa mtume hakukuwa na redio
Dereva akatii...
Unaalika dame date halafu kinakam na maringo,ety oooh!,"...babe hata
Sitakula nikitoka home nilipitia CHICKEN POINT
nikakula kuku..."
We na ugentleman wako unambuyia whiskey ya 3k,,afta kuchapa...
MAMBO yanayosababisha baadhi ya makundi ya whasapp kufa. (Inaweza ikawauma wengine lakini ndio ukweli)
[emoji129][emoji130]
1. Mtu anaweza akatoa mada na hakuna mtu akachangia na wakati huo huo...
Matatizo Ya ENGLISH Medium Kwa Watoto wetu, Siku 1 MTOTO Alichukua Passpot Ya ***** Na Kuisoma Akaona
Name : STELLA
Place : TANGA,
Birth : 1979,
Sex : F,
MTOTO Akamwambia, "MAMA Hauko Serious...
Kule kote ambako huwa napata TAARIFA zangu NYETI na za NGUVU naona tokea niamke Mabeki wameziba njia zote nikimaanisha WAMENICHUNIA halafu na bahati mbaya sana kule ambako huwa nikipita tu naona...
Baada ya magari ya mwendo kasi kuanza safari zake jijini Dar es salaam, hivi sasa kumeibuka wimbi la picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikionyesha vitu kama wanyama, watu, cartoon n.k...
Kila kitu sasa iko mwendokasi. Gari ya mwendokasi, simu ya mwendokasi, bangi ya mwendokasi, viatu ya mwendokasi, elimu ya mwendokasi, bia ya mwendokasi, treni ya mwendokasi, sasa wapi ntapata...
Mambo vipi ndugu zangu wa jf, mm n mpenzi sana wa nyimbo za zamani, naomba mnisaidie kama kuna mtu ana nyimbo ta mwanzomwanzo za tot taarab mfano gwiji, kijungu, wrong number anisaidie kunitumia...
Ni zaidi ya miaka miwili nilikuwa sijaingia humu... sasa nimerudi naona wajukuu wengi sana na ukubwa umesogea flan amazing.... HODI am back.
Missed you sana hasa jukwaa hili
Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
Habari wana Jamii Forums....Leo ningependa kujua interest za wenzangu humu JF..Obviously JF kuna Forums mbalimbali kutokana na aspects mbalimbali za maisha na interests tofauti za watu...Naomba...
Tatizo la lugha bwana..... Mkenya na Mtanzania walikuwa wakitambulishana kwenye mkutano mmoja wa East African Community.
Mtanzania: Are you married my brother?
Mkenya: Ooh, my wife is an angel...
Wakuu Wasalaam.
Mimi Kirchhoff ni MUME wa Mwanamke Mpole sana na Mnyenyekevu mwenye asilimia 99% za kuwa MKE MWEMA.
Nimetenda dhambi baada ya kupa mwili nafasi utawale roho.
Nimelelewa katika...
Hivi kama TUNDU LISSU, ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA na HALIMA MDEE hawapo BUNGENI.
naona BORA wafunge BUNGE wote waondoke..
Ni sawa na kufungua BAR alafu hauna BIA hata moja una SAYONA tu...
Nalazimika kuamini hivyo
Baada ya kusikia kuwa
nyuma ya kitwanga kuna sakata la lugumi,
Hainiingii kichwani kuwa waziri
afanye jambo la ajabu la kulewa wakati wa kazi
Huku akielewa fika miiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.