RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na...
Kwa wanaume wenza mitaa ya Jamvi,
Jana nikiwa napita maeneo katikati ya Jiji , mara hammadi , mbele yangu pakawa na vijana wawili wakiwa na makundi mawili ya wapambe.
Kwa dakika chache...
Hawa wanawake nawashangaa sana. Naandika hapa kwa masikitiko makubwa, naomba na wewe unaye soma usome kwa masikitiko pia.
Hivi hawa wanawake kwanini ndio wanao ongoza kwa kupoteza simu? Hasa hawa...
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA Chitwechenkura.
1.Nazuia Simu feki zisizimwe
2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM
3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida
4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi
likipata...
Ni attention tu aisee hawa wa dada wa huku usiwadharau bana. Jana kuna member famous mmoja mdada ID kapuni. Ki utani utani tu tukajikuta tumekutana jana.
Aisee ameumbika vibaya mno. Nnavopenda...
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA Idumulavanu.
1.Nazuia Simu feki zisizimwe
2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM
3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida
4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi likipata ajali...
Tz banaaa imepita bajaji apa yenye bango limeandikwa Baba J. Mhhhhh haikawii tutaona pia ktk ma bus na magari ya mizigo. Pls kwa wale wakina dada humu mlio na bby girls kama bado hamjawabatiza...
leo asubuhi nikiwa katikati ya jiji la mwanza naanza anza weekend, nimekutana na sura ambayo si ngeni machoni mwangu lakini sikuwa na uhakika, so kama kawaida nikamwambia samahani mdada nahisi...
Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.